-
Kujiuzulu Waziri wa Mambo ya Nje wa Sudan Kusini
Jun 23, 2018 02:48Serikali ya Sudan Kusini imetangaza rasmi habari ya kujiuzulu waziri wake wa mambo ya nje.
-
Waasi Sudan Kusini: Muda zaidi unahitajika kufikia amani
Jun 22, 2018 03:20Waasi wa Sudan Kusini wametangaza kuwa muda zaidi unahitajika ili kufanikisha mchakato wa amani ya kudumu nchini humo na kwamba itakuwa jambo la muhimu kuvipatia ufumbuzi vyanzo vikuu vya vita vya wenyewe kwa wenyewe huko Sudan Kusini.
-
Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini akutana na hasimu wake, Addis Ababa
Jun 21, 2018 03:46Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini jana alikutana na kufanya mazungumzo na kiongozi wa waasi nchini humo, Rieck Machar mjini Addis Ababa ikiwa ni mara ya kwanza tangu mwaka 2016 wakati mapatano ya amani kati ya pande hizo mbili yaliposambaratika na kuanza tena mapigano ya wenyewe kwa wenyewe nchini Sudan Kusini.
-
Mahasimu wakuu wa mgogoro wa Sudan Kusini kukutana Ethiopia
Jun 19, 2018 08:58Rais Salva Kiir wa Sudan kusini atakutana na kiongozi mkuu wa waasi, Reik Machar mjini Addis Ababa Ethiopia siku ya Jumatano kama sehemu ya jitihada za kumaliza vita vya ndani ambaرyo vimekuwa vikiendelea kwa muda wa miaka mitano nchini humo.
-
Riek Machar akubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa Sudan Kusini
Jun 14, 2018 03:31Kiongozi wa waasi wa Sudan Kusini Riek Machar amekubali kukutana ana kwa ana na Rais Salva Kiir wa nchi hiyo changa zaidi barani Afrika, wiki ijayo nchini Ethiopia.
-
IGAD yasema amani ya Sudan Kusini sasa ipo mikononi mwa Kiir na Machar
Jun 03, 2018 02:59Jumuiya ya Kiserikali ya Maendeleo Mashariki mwa Afrika IGAD inaonekana kusalimu amri katika jitihada za kuupatia ufumbuzi mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini.
-
Waasi Sudan Kusini waunga mkono upatanishi wa Raila katika mgogoro wa nchi hiyo
May 28, 2018 02:44Waasi wa Sudan Kusini wanaoongozwa na Riek Machar, makamu wa zamani wa rais, wameunga mkono hatua ya Kenya kumteua kiongozi wa upinzani Raila Odinga kuwa mpatanishi katika mgogoro unaotokota nchini humo.
-
UN yamuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Sudan Kusini
May 27, 2018 09:17Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limetangaza kumuwekea vikwazo Waziri wa Ulinzi wa Sudan Kusini, Kuol Manyang Juk kutokana na kile lilichodai kuwa ni kitendo cha afisa huyo wa Juba kukiuka makubaliano ya usitishaji vita.
-
Umoja wa Afrika waitisha mkutano kujadili mgogoro wa mpakani wa Sudan na Sudan Kusini
May 23, 2018 23:39Umoja wa Afrika utafanya mkutano kati ya Sudan na Sudan Kusini kwa lengo la kutatua mgogoro kuhusu eneo la mpakani la Abyei.
-
Zaidi ya watoto 200 waachiliwa huru na makundi ya wabeba silaha Sudan Kusini
May 19, 2018 09:12Umoja wa Mataifa umetangaza kuwa, zaidi ya watoto 200 waliokuwa mikononi mwa makundi ya wabeba silaha huko Sudan Kusini wameachiliwa huru.