Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • UNICEF yatahadharisha kuhusiana na hali mbaya ya watoto Sudan Kusini

    UNICEF yatahadharisha kuhusiana na hali mbaya ya watoto Sudan Kusini

    Jan 20, 2018 23:41

    Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa UNICEF umetahadharisha kuhusu hali mbaya inayowakabili watoto katika nchi changa ya Sudan Kusini.

  • Raia 700,000 wa Sudan Kusini walikimbia njaa, vita, magonjwa mwaka jana

    Raia 700,000 wa Sudan Kusini walikimbia njaa, vita, magonjwa mwaka jana

    Jan 19, 2018 10:27

    Ofisi ya Uratibu wa Masuala ya kibinadamu ya Umoja wa Mataifa OCHA imesema raia takriabani laki 7 wa Sudan Kusini walikimbilia nchi jirani kutokana na migogoro, njaa na magonjwa katika mwaka 2017.

  • Troika ya Magharibi yatuhumiwa kukiuka makubaliano ya amani ya Sudan Kusini

    Troika ya Magharibi yatuhumiwa kukiuka makubaliano ya amani ya Sudan Kusini

    Jan 17, 2018 23:03

    Jeshi la Ukombozi wa Sudan Kusini limeituhumu Troika ya Magharibi inayozijumuisha Uingereza, Marekani na Norway kwa kukiuka mtawalia makubaliano ya amani ya nchi hiyo.

  • Mapigano mapya yaripotiwa karibu na mji mkuu wa Sudan Kusini

    Mapigano mapya yaripotiwa karibu na mji mkuu wa Sudan Kusini

    Jan 06, 2018 03:47

    Mapigano mapya kati ya jeshi na waasi yameripotiwa karibu na mji mkuu wa Sudan Kusini, Juba, siku chache baada ya kuvurugika kwa makubaliano ya amani yaliyosainiwa kati ya pande hasimu za kisiasa mjini Addis Ababa nchini Ethiopia.

  • IGAD yalaumu wanaovuruga mapatano mapya ya kusitisha vita Sudan Kusini

    IGAD yalaumu wanaovuruga mapatano mapya ya kusitisha vita Sudan Kusini

    Dec 31, 2017 00:02

    Mwenyekiti wa baraza la mawaziri katika Shirika la Maendeleo la Kiserikali la Nchi za Afrika Mashariki IGAD amelaani kitendo cha kuvunjika kwa makubaliano yaliyosainiwa na pande zinazohasimiana nchini Sudan Kusini.

  • Mahasimu Sudan Kusini warushiana tuhuma, waagizwa kuheshimu mapatano ya amani

    Mahasimu Sudan Kusini warushiana tuhuma, waagizwa kuheshimu mapatano ya amani

    Dec 25, 2017 03:45

    Wakuu wa serikali ya Sudan Kusini na kundi kubwa zaidi la waasi wamerushiana lawama kuhusu kukiuka mapatano ya usitishwaji mapigano yaliyaonza kutekelezwa jana.

  • Kuanza kutekelezwa usitishaji vita nchini Sudan Kusini

    Kuanza kutekelezwa usitishaji vita nchini Sudan Kusini

    Dec 24, 2017 10:11

    Utekelezaji wa usitishaji vita huko Sudan Kusini umeanza kutekelezwa kwa shabaha ya kuhitimisha vita vya ndani katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kufuatia makubaliano yaliyofikiwa kati ya pande zinazozozana katika nchi hiyo.

  • Matumaini Sudan Kusini baada ya Machar kuamuru wafuasi wake wasitishe vita

    Matumaini Sudan Kusini baada ya Machar kuamuru wafuasi wake wasitishe vita

    Dec 23, 2017 23:56

    Matumaini ya amani Sudan Kusini yameimarika baada ya kiongozi wa waasi, Riek Machar kuamuru wapiganaji wake kuacha kupigana na wanajeshi wa serikali.

  • Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa wa kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu Sudan Kusini

    Wasiwasi wa Umoja wa Mataifa wa kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu Sudan Kusini

    Dec 22, 2017 23:14

    Kundi la wataalamu wa Kamisheni ya Haki za Binadamu ya Umoja wa Mataifa limeelezea wasiwasi lilionao wa kuendelea vitendo vya utumiaji mabavu katika nchi ya Sudan Kusini.

  • Umoja wa Afrika wakaribisha makubaliano ya amani ya Sudan Kusini

    Umoja wa Afrika wakaribisha makubaliano ya amani ya Sudan Kusini

    Dec 22, 2017 11:42

    Umoja wa Afrika (AU) umetoa taarifa rasmi na kukaribisha kwa mikono miwili makubaliano ya amani yaliyofikiwa kati ya mahasimu wa kisiasa huko Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS