-
Umoja wa Afrika wakaribisha makubaliano ya amani ya Sudan Kusini
Dec 22, 2017 11:42Umoja wa Afrika (AU) umetoa taarifa rasmi na kukaribisha kwa mikono miwili makubaliano ya amani yaliyofikiwa kati ya mahasimu wa kisiasa huko Sudan Kusini.
-
Mahasimu Sudan Kusini watia saini mapatano ya usitishaji vita
Dec 22, 2017 03:18Serikali ya Sudan Kusini imetiliana saini mapatano ya usitishaji vita na makundi ya waasi nchini humo jana Alkhamisi katika jitihada za hivi karibuni za kumaliza vita vya ndani ambavyo vimekuwa vikiendelea kwa muda wa miaka minne nchini humo.
-
UNICEF: Watoto Sudan Kusini wanakabiliwa na hali mbaya
Dec 16, 2017 11:56Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu hali mbaya ya watoto katika nchi ya Sudan Kusini.
-
WHO: Mamia wamefariki dunia Sudan Kusini kutokana na kipindupindu
Dec 16, 2017 00:44Shirika la Afya Duniani (WHO) limetangaza kuwa, watu 462 wamefariki dunia nchini Sudan Kusini tangu ugonjwa wa kipindupindu ulipotangazwa nchini humo mwezi Juni mwaka jana na kwamba wengine 21 elfu na 571 wanasumbuliwa na maradhi hayo.
-
Vikosi vya Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini vyaongezewa muda
Dec 15, 2017 03:36Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limepitisha uamuzi wa kurefusha muda wa kuhudumu Ujumbe wa Kulinda Amani wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini UNMISS kwa miezi mitatu zaidi.
-
Sudan Kusini yahitaji misaada ya kibinadamu ya dola bilioni 1.7
Dec 13, 2017 23:43Sudan Kusini inahitaji misaada ya kibinadamu ya dola bilioni 1.7 katika mwaka ujao wa 2018 ili kuwasaidia raia wa nchi hiyo wapatao milioni 6; idadi ambayo ni nusu ya jamii ya nchi hiyo.
-
Watu 170 wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini
Dec 12, 2017 12:58Watu zaidi ya 170 wamethibitishwa kuuawa Sudan Kusini katika mapigano ya kikabila yaliyoibuka katika eneo la Maziwa Makuu nchini humo wiki iliyopita.
-
Umoja wa Mataifa watahadharisha kuhusu ukame na njaa Sudan Kusini
Dec 08, 2017 23:03Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya kibinadamu ametahadharisha kuhusiana na kuzidi kuwa mbaya hali ya chakula kwa zaidi ya watu milioni moja huko Sudan Kusini.
-
Israel yaiuzia Sudan Kusini ndege zisizo na rubani
Dec 05, 2017 04:34Utawala wa Kizayuni wa Israel umeiuzia Sudan Kusini ndege zisizo na rubani na kamera za kisasa za usalama zilizogharimu mamilioni ya dola, licha ya nchi hiyo changa zaidi barani Afrika kusumbuliwa na ukosefu wa usalama, machafuko, njaa na wimbi la wakimbizi.
-
Sudan Kusini kujiunga na Mkataba wa Kupiga Marufuku Silaha za Kemikali
Dec 02, 2017 11:26Sudan Kusini itakuwa nchi mwanachama wa Mkataba wa Silaha za Kemikali, CCW na kujiunga na Shirika la Kuzuia Silaha za Kemikali Duniani, OPCW.