-
Watu 50 wauawa katika mapigano ya kikabila Sudan Kusini
Nov 29, 2017 12:51Watu wasiopungua 50 wameripotiwa kuuawa leo huko Sudan Kusini baada ya kutokea mapigano ya kikabila katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.
-
UN: Watu milioni 1.2 wakabiliwa na baa la njaa Sudan Kusini
Nov 06, 2017 10:10Umoja wa Mataifa umesema watu milioni moja, laki mbili na elfu 50 wapo katika hatari ya kupoteza maisha kutokana na baa la njaa nchini Sudan Kusini.
-
UN yaeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini
Oct 27, 2017 04:13Umoja wa Mataifa umeeleza wasiwasi wake kuhusu hali ya wakimbizi wa Sudan Kusini walioko katika mji mkuu wa nchi jirani ya Sudan, Khartoum.
-
Sudan Kusini yaazimia kutekeleza ahadi ya kusimamisha vita daima
Oct 19, 2017 04:22Serikali ya Sudan Kusini imesisitiza tena azma ya kuhakikisha vita vya ndani vinasitishwa nchini humo baada ya kiongozi wa kikosi cha kulinda amani cha Umoja wa Mataifa kutangaza kuwa kukosekana kwa usalama nchini humo kunatokana na ukosefu wa nia ya kisiasa.
-
Kukosolewa serikali ya Juba na UN kwa kigugumizi chake katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Sudan Kusini
Oct 18, 2017 09:56Kuendelea vita vya ndani huko Sudan Kusini, kumeufanya Umoja wa Mataifa uituhumu serikali ya Juba kwamba, imekuwa na kigugumizi na hali ya kusitasita katika kuupatia ufumbuzi mgogoro wa nchi hiyo.
-
Sudan Kusini: Viongozi wa Marekani waangalie uvunjwaji wa haki za binaadamu nchini kwao, sio kwetu
Oct 17, 2017 05:02Rais Salva Kiir Mayardit wa Sudan Kusini amesema kuwa viongozi wa Marekani wanatakiwa kuwa na wasi wasi wa ukiukwaji wa haki za binaadamu nchini kwao na sio katika nchi nyingine.
-
Hali ya kibinadamu yazidi kuwa mbaya Sudan Kusini
Oct 04, 2017 12:35Gazeti la al Jadid linalochapishwa nchini Uingereza limeandika kuwa, hadi hivi sasa Sudan Kusini imeshindwa kuwa na serikali huru licha ya kupita miaka mingi ya tangu kujitenga na Sudan mwaka 2011.
-
Jeshi la Sudan Kusini laua waasi 91 katika jimbo la Bieh nchini humo
Oct 03, 2017 01:24Jeshi la Sudan Kusini limetangaza kuwa kufuatia kuanza wimbi jipya la mapigano katika eneo la Waat katika jimbo la Bieh, jumla ya waasi 91 wameuawa na jeshi hilo huku wengine wakijeruhiwa.
-
Wanaochochea machafuko Sudan Kusini wawajibishwe
Sep 21, 2017 02:46Wito umetolewa kuhakikisha kwamba wanaochochea machafuko ya Sudan Kusini wanawajibishwa na pia misaada ya kibinadamu iwafikie wanaoihitajia katika nchi hiyo.
-
Watu 25 wauawa katika mapigano eneo lenye utajiri wa mafuta Sudan Kusini
Sep 19, 2017 11:01Waasi wa Sudan Kusini wameshambulia wanajeshi wa serikali katika jimbo la Unity ambalo lina visima vingi vya mafuta ambapo watu 25 wameuawa wakiwemo raia kadhaa.