Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Wapinzani Sudan Kusini wameituhumu serikali kuushambulia mji wa Aburok

    Wapinzani Sudan Kusini wameituhumu serikali kuushambulia mji wa Aburok

    Sep 13, 2017 23:24

    Wapinzani nchini Sudan Kusini wamevituhumu vikosi vya serikali kuwa vimeushambulia mji unaowahifadhi maelfu ya wakimbizi.

  • Majaji wasitisha mgomo wa miezi minne nchini Sudan Kusini

    Majaji wasitisha mgomo wa miezi minne nchini Sudan Kusini

    Sep 10, 2017 03:12

    Majaji na mahakimu nchini Sudan Kusini wametangaza kusitisha mgomo wao wa miezi minne baada ya Rais Salva Kiir wa nchi hiyo kuahidi kutimiza matakwa yao.

  • Tanzania: Tuna mahindi ya ziada, tutaanza kuuza Kongo DR na Sudan Kusini

    Tanzania: Tuna mahindi ya ziada, tutaanza kuuza Kongo DR na Sudan Kusini

    Sep 10, 2017 03:02

    Serikali ya Tanzania imesema mazungumzo yanaendelea ili nchi hiyo ya Afrika Mashariki ianze kuuza mahindi kwenye Shirika la Mpango wa Chakula Duniani (WFP), Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo na Sudan Kusini.

  • UNESCO: Watoto milioni 1.8 wamenyimwa fursa ya kusoma Sudan Kusini

    UNESCO: Watoto milioni 1.8 wamenyimwa fursa ya kusoma Sudan Kusini

    Sep 08, 2017 23:17

    Shirika la Elimu, Sayansi na Utamaduni la Umoja wa Mataifa UNESCO limetangaza kuwa, watoto wapatao milioni 1.8 wamenyimwa fursa ya kusoma katika nchi ya Sudan Kusini kutokana na hali mbaya ya vita na ukosefu wa amani.

  • Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini na kuendelea mapigano

    Mgogoro wa kisiasa nchini Sudan Kusini na kuendelea mapigano

    Aug 28, 2017 02:47

    Mgogoro wa kisiasa na mapigano katika nchi ya Sudan Kusini yanaendelea katika hali ambayo, kwa akali watu 40 wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano mapya yaliyotokea kati ya jeshi la nchi hiyo na waasi katika jimbo la Yei.

  • 19 akiwemo mwanahabari wa US wauawa katika mapigano Sudan Kusini

    19 akiwemo mwanahabari wa US wauawa katika mapigano Sudan Kusini

    Aug 26, 2017 23:15

    Watu 19 akiwemo mwandishi wa habari raia wa Marekani wameuawa katika mapigano mapya baina ya vikosi vya serikali na waasi wanaobeba silaha katika jimbo la Yei, nchini Sudan Kusini.

  • Baraza la Usalama laitaka Sudan Kusini iache kukwamisha shughuli za kikosi cha UN

    Baraza la Usalama laitaka Sudan Kusini iache kukwamisha shughuli za kikosi cha UN

    Aug 25, 2017 09:15

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limeitaka serikali ya Sudan Kusini iache kukwamisha shughuli za kikosi cha askari wa kofia buluu wa Umoja wa Mataifa walioko katika nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

  • Sudan Kusini yakabiliwa na uhaba wa mafuta ya petroli

    Sudan Kusini yakabiliwa na uhaba wa mafuta ya petroli

    Aug 23, 2017 09:39

    Vituo vya mafuta ya petroli Sudan Kusini vinakabiliwa na uhaba mkubwa wa bidhaa hiyo pamoja na kuwa nchi hiyo ina utajiri wa mafuta ghafi ya petroli.

  • Sudan Kusini yapiga marufuku ndege za walinda amani wa UN kutumia uwanja wa Juba

    Sudan Kusini yapiga marufuku ndege za walinda amani wa UN kutumia uwanja wa Juba

    Aug 22, 2017 10:57

    Serikali ya Sudan Kusini imepiga marufuku ndege za vikosi vya kulinda amani vya Umoja wa Mataifa kuruka kutokea uwanja wa ndege wa mji mkuu wa nchi hiyo, Juba.

  • Watoaji wa huduma za kibinadamu Sudan Kusini waendelea kushambuliwa

    Watoaji wa huduma za kibinadamu Sudan Kusini waendelea kushambuliwa

    Aug 19, 2017 23:54

    Mratibu wa masuala ya kibiadamu nchini Sudan Kusini amesema kuwa mashambulizi dhidi ya watoaji wa huduma za kibiandamu nchini humo yameongezeka.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS