-
Uganda yafungua kambi mpya kwa ajili ya wakimbizi wa Sudan Kusini
Aug 16, 2017 23:42Uganda imefungua kambi mpya kwa ajili ya kuwapokea maelfu ya wakimbizi wa Sudan Kusini wanaozidi kumiminika kila uchao katika nchi hiyo ya Afrika Mashariki.
-
Mapigano makali yaikumba Sudan Kusini karibu na mpaka na Ethiopia
Aug 11, 2017 11:44Mapigano makali yameripotiwa kujiri leo katika mji wa Pagak nchini Sudan Kusini karibu na mpaka wa nchi hiyo na Ethiopia wakati waasi walipoanzisha mashambulizi dhidi ya askari jeshi wa serikali.
-
Jeshi la Sudan Kusini lateka ngome kuu ya waasi ya Pagak
Aug 07, 2017 12:03Jeshi la serikali ya Sudan Kusini limefanikiwa kutwaa ngome kikuu ya waasi katika eneo la Pagak lililoko karibu na mpaka wa nchi hiyo na Ethiopia.
-
UN yaunga mkono kurejeshwa amani nchini Sudan Kusini
Aug 03, 2017 09:55Umoja wa Mataifa umekaribisha kurejeshwa amani na kuhitimishwa mivutano nchini Sudan Kusini.
-
UN yaunga mkono kurejeshwa amani nchini Sudan Kusini
Aug 03, 2017 09:41Umoja wa Mataifa umekaribisha kurejeshwa amani na kuhitimishwa mivutano nchini Sudan Kusini.
-
Abiria 14 wauawa na kujeruhiwa katika uvamizi Sudan Kusini
Aug 02, 2017 23:55Abiria wanne wameuawa na wengine zaidi ya 10 wamejeruhiwa baada ya watu waliojizatiti kwa silaha kushambulia msafara wa mabasi nchini Sudan Kusini.
-
Amnesty International :Ubakaji dhidi ya raia umekithiri Sudan Kusini
Jul 24, 2017 10:32Jumuiya ya kutetea haki za binadamu ya Amnesty International imetahadharisha kuhusu ongezeko kubwa la ukatili wa kingono na ubakaji wa maelfu ya wanawake, wasichana na hata wanaume katika nchi za Sudan Kusini.
-
Ofisa wa Umoja wa Mataifa ataka amani irudi Sudan Kusini
Jul 21, 2017 22:02Msaidizi wa katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa anayeshughulikia ulinzi wa amani El Ghassim Wane amesema changamoto zinazoikabili Sudan Kusini zinatakiwa kuondolewa, ili kutumia fursa ya uwepo wa vikosi vya ulinzi wa usalama kuirudisha nchi hiyo kwenye hali ya utulivu na usalama.
-
Wafanyakazi wa UNICEF watekwa nyara Sudan Kusini
Jul 12, 2017 10:00Mfuko wa Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetangaza kuwa, wafanyakazi watatu wa shirika hilo wametekwa nyara nchini Sudan Kusini.
-
UN yatahadharisha kuhusu ukosefu wa amani Sudan Kusini
Jul 05, 2017 10:02Ujumbe wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini umetangaza kuwa nchini hiyo inasumbuliwa na hali hatari sana ya ukosefu wa amani.