Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • UN: Wafanyakazi 82 wa ufikishaji misaada wameuliwa katika vita vya ndani Sudan Kusini

    UN: Wafanyakazi 82 wa ufikishaji misaada wameuliwa katika vita vya ndani Sudan Kusini

    Apr 20, 2017 02:34

    Mratibu mkaazi wa masuala ya kibinadamu wa Umoja wa Mataifa nchini Sudan Kusini amesema wafanyakazi 82 wa utoaji misaada wameuliwa katika vita vya ndani vya nchi hiyo na kwamba idadi ya raia waliobaki bila makaazi sasa imefikia milioni tatu na nusu.

  • Indhari ya Unicef kuhusu kusimamia utoaji huduma huko Somalia na Sudan Kusini

    Indhari ya Unicef kuhusu kusimamia utoaji huduma huko Somalia na Sudan Kusini

    Apr 19, 2017 02:58

    Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) umetahadharisha kuhusu kukosekana usimamizi wa utoaji huduma za kibinadamu kwa raia wa Sudan Kusini na Somalia.

  • Wimbi la mauaji laendelea Sudan Kusini, 14 wauawa

    Wimbi la mauaji laendelea Sudan Kusini, 14 wauawa

    Apr 16, 2017 02:44

    Kwa akali watu 14 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano mapya baina ya wanajeshi wa serikali na waasi katika mji wa Raga nchini Sudan Kusini.

  • WFP yalaani mauaji ya wafanyakazi wa ufikishaji misaada ya kibinadamu Sudan Kusini

    WFP yalaani mauaji ya wafanyakazi wa ufikishaji misaada ya kibinadamu Sudan Kusini

    Apr 14, 2017 22:00

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Chakuka Duniani (WFP) limelaani muaji ya wafanyakazi wake watatu wanaohudumu nchini Sudan Kusini.

  • Uingereza: Machafuko ya Sudan Kusini ni sawa na mauaji ya kimbari

    Uingereza: Machafuko ya Sudan Kusini ni sawa na mauaji ya kimbari

    Apr 14, 2017 03:48

    Waziri wa Serikali ya Uingereza amesema kuwa mauaji yaliyoyalenga makundi maalumu ya kikabila huko Sudan Kusini na kusababisha vita vya ndani nchini humo mwaka 2013, ni sawa na mauaji ya kimbari.

  • Watu 16 wauwa katika mapigano nchini Sudan Kusini

    Watu 16 wauwa katika mapigano nchini Sudan Kusini

    Apr 11, 2017 12:05

    Kwa akali watu 16 wameuawa na wengine wengi kujeruhiwa katika mapigano baina ya wanajeshi wa serikali na waasi nchini Sudan Kusini.

  • Wakimbizi wa Sudan Kusini: Askari 'wamewachinja raia kama wanyama'

    Wakimbizi wa Sudan Kusini: Askari 'wamewachinja raia kama wanyama'

    Apr 08, 2017 11:22

    Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) limesema watu zaidi ya 6,000 wamekimbia makazi yao nchini Sudan Kusini na kukimbilia wilaya ya kaskazini mwa Uganda ya Lamwo kujisalimisha na mauaji ya raia yanayofanywa na askari wa serikali ya Juba.

  • Wasi wasi wa Sudan kuhusu kuongezeka wimbi la wakimbizi wa Sudan Kusini

    Wasi wasi wa Sudan kuhusu kuongezeka wimbi la wakimbizi wa Sudan Kusini

    Apr 07, 2017 23:44

    Serikali ya Sudan imeonyesha wasi wasi wake mkubwa juu ya mgogoro unaotokana na ongezeko la wakimbizi wa Sudan Kusini wanaoingia nchi hiyo.

  • Jeshi na waasi Sudan Kusini watuhumiana kwa mauaji ya raia

    Jeshi na waasi Sudan Kusini watuhumiana kwa mauaji ya raia

    Apr 05, 2017 11:36

    Msemaji wa Shirika la Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) ametangaza habari ya kukimbilia nchini Uganda maelfu ya raia wa Sudan Kusini kufuatia kushadidi mapigano ndani ya nchi hiyo changa zaidi barani Afrika.

  • Maafisa polisi zaidi ya 140 wa Rwanda wawasili nchini Sudan Kusini

    Maafisa polisi zaidi ya 140 wa Rwanda wawasili nchini Sudan Kusini

    Apr 05, 2017 03:13

    Rwanda imetuma makumi ya maafisa wa polisi wa kikosi kipya cha maafisa wake wa kulinda amani nchini Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS