Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Sudan Kusini

  • Raia 3000 wa Sudan Kusini watorokea Uganda baada ya kushambuliwa na jeshi

    Raia 3000 wa Sudan Kusini watorokea Uganda baada ya kushambuliwa na jeshi

    Apr 04, 2017 11:30

    Raia zaidi ya elfu 3 wa Sudan Kusini wameingia katika nchi jirani ya Uganda hii leo baada ya wanajeshi wa serikali SPLA kuvamia mji wa mpakani wa Pajok, na kuanza kufanya mauaji kiholela.

  • Jeshi la Sudan Kusini lalaumiwa kwa kuteketeza vijiji

    Jeshi la Sudan Kusini lalaumiwa kwa kuteketeza vijiji

    Apr 01, 2017 03:10

    Vikosi vya jeshi la serikali ya Sudan Kusini viliteketeza maelfu ya nyumba mwishoni mwa mwaka jana wa 2016 wakati vita vya miaka mitatu vya wenyewe kwa wenyewe vilipokuwa vikiendelea nchini humo.

  • Riek Machar: Natija ya kikao cha IGAD inakatisha tamaa

    Riek Machar: Natija ya kikao cha IGAD inakatisha tamaa

    Mar 31, 2017 03:05

    Kiongozi wa waasi nchini Sudan Kusini, Riek Machar ameonyesha kutofurahishwa na natija ya kikao cha Jumuiya ya Kieneo ya Nchi za Afrika Mashariki (IGAD).

  • Unicef na Wfp zatoa msaada wa chakula kwa Sudan Kusini

    Unicef na Wfp zatoa msaada wa chakula kwa Sudan Kusini

    Mar 28, 2017 22:26

    Mfuko wa Kuhudumia Watoto wa Umoja wa Mataifa (UNICEF) na Mpango wa Chakula Duniani (WFP) kwa pamoja zimegawa misaada mbalimbali kwa raia 145,000 wa Sudan Kuisni wakiwemo watoto elfu 33 walio na umri wa chini ya miaka mitano.

  • Watoaji misaada ya kibinadamu sita wauawa Sudan Kusini

    Watoaji misaada ya kibinadamu sita wauawa Sudan Kusini

    Mar 27, 2017 03:29

    Wahudumu sita wa asasi za kutoa misaada ya kibinadamu wameuawa katika mazingira ya kutatanisha nchini Sudan Kusini.

  • Saudia yazidi kujipenyeza kijeshi Afrika, yaandaa luteka na Sudan

    Saudia yazidi kujipenyeza kijeshi Afrika, yaandaa luteka na Sudan

    Mar 27, 2017 03:24

    Katika hatua inayoonekana ni ya kujaribu kujienyeza zaidi kijeshi barani Afrika, majeshi ya Saudi Arabia na Sudan yanatazamiwa kufanya luteka ya pamoja wiki hii.

  • Sudan yaafiki kuanzishwa njia ya amani kwa ajili ya misaada ya kibinadamu Sudan Kusini

    Sudan yaafiki kuanzishwa njia ya amani kwa ajili ya misaada ya kibinadamu Sudan Kusini

    Mar 27, 2017 00:09

    Serikali ya Sudan imeafiki suala la kuanzishwa njia ya amani kwa ajili ya kutuma misaada ya kibinadamu kwa watu walioathiriwa na ukame na njaa katika nchi jirani ya Sudan Kusini.

  •  Mpango wa kutumwa kundi la kwanza la wanajeshi wa kieneo wa UN Sudan Kusini

    Mpango wa kutumwa kundi la kwanza la wanajeshi wa kieneo wa UN Sudan Kusini

    Mar 25, 2017 08:54

    Herve Ladsous Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa anayesimamia oparesheni za kulinda amani ametangaza kuwa kundi la kwanza la kikosi cha wanajeshi wa kieneo walio chini ya usimamizi wa Umoja wa Mataifa watakuwa wamewasilii Sudan Kusini hadi mwishoni mwa mwezi Aprili na mwanzoni mwa Mei kufuatia kuvurugika hali ya kisiasa na kibinadamu nchini humo.

  • Kikosi cha kijeshi cha UN kuingia Sudan Kusini

    Kikosi cha kijeshi cha UN kuingia Sudan Kusini

    Mar 25, 2017 03:07

    Wanajeshi wa Umoja wa Mataifa wanatazamiwa kuingia Sudan Kusini katika kipindi cha chini ya mwezi moja.

  • Maafisa wa kulinda amani wa Rwanda kuanza kuwasili Sudan Kusini kesho

    Maafisa wa kulinda amani wa Rwanda kuanza kuwasili Sudan Kusini kesho

    Mar 24, 2017 02:56

    Jeshi la Polisi la Rwanda limetuma suhula na zana za kivita mjini Juba, zitakazotumiwa na kikosi kipya cha maafisa wake wa kulinda amani nchini Sudan Kusini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS