-
Maafisa wa kulinda amani wa Rwanda kuanza kuwasili Sudan Kusini kesho
Mar 24, 2017 02:56Jeshi la Polisi la Rwanda limetuma suhula na zana za kivita mjini Juba, zitakazotumiwa na kikosi kipya cha maafisa wake wa kulinda amani nchini Sudan Kusini.
-
UN yataka kuongezwa juhudi za kutatua mgogoro wa Sudan Kusini
Mar 23, 2017 03:11Naibu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametaka kuongezwa juhudi za kuutatua mgogoro wa Sudan Kusini na kusisitiza kuwa mazungumzo ya kisiasa ndiyo njia pekee ya kumaliza machafuko nchini humo.
-
Ndege ya abiria yaanguka ikiwa na watu 45 Sudan Kusini
Mar 20, 2017 14:48Ripoti kutoka Sudan Kusini zinasema ndege moja ya abiria iliyokuwa na wasafiri 40 na wahudumu 5 imeanguka katika uwanja wa ndege wa Wau.
-
UNHCR yatahadharisha kuhusu janga la wakimbizi wa Sudan Kusini
Mar 19, 2017 00:37Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi UNHCR limesema limeshtushwa na idadi kubwa ya raia wa Sudan Kusini wanaokimbia makaazi yao na kuelekea nchi jirani au kuwa wakimbizi ndani ya nchi.
-
Serikali Sudan Kusini yalaumiwa kwa kusababisha baa la njaa
Mar 17, 2017 10:06Serikali ya Sudan Kusini ndiyo inayobeba lawama kubwa kwa baa la njaa linaloshuhudiwa katika baadhi ya sehemu za nchi hiyo iliyoharibiwa na vita.
-
UN: Serikali ya Sudan Kusini ya kulaumiwa kwa baa la njaa; ingali inanunua silaha
Mar 17, 2017 04:09Serikali ya Sudan Kusini ndiyo inayobeba lawama kubwa kwa baa la njaa linaloshuhudiwa katika baadhi ya sehemu za nchi hiyo iliyoharibiwa na vita huku Rais wa nchi hiyo Salva Kiir akiendelea kutumia mamilioni ya dola zinazotokana na mauzo ya mafuta kuimarisha vikosi vyake vya ulinzi.
-
Maafisa wa misaada ya kibinadamu washambuliwa Sudan Kusini
Mar 17, 2017 00:26Kundi moja la watu wenye silaha limeshambulia msafara wa maafisa wa kutoa misaada ya kibinadamu nchini Sudan Kusini.
-
Sudan Kusini: Marekani inachochea machafuko kwa kuwafadhili waasi nchini mwetu
Mar 16, 2017 11:04Serikali ya Juba imeituhumu Marekani kuwa inachochea machafuko na mapigano nchini humo, kwa kuyaunga mkono na kuyafadhili magenge ya waasi.
-
UN: Sudan Kusini inawahamisha watu kwa msingi wa kikabila
Mar 16, 2017 03:44Serikali ya Sudan Kusini imeanza kampeni ya kuorodhesha na kuhamisha watu kwa mujibu wa makabila yao.
-
Ukiukaji wa haki za binadamu waongezeka huko nchini Sudan Kusini
Mar 16, 2017 00:31Umoja wa Mataifa umetahadharisha kwa mara nyingine tena kuhusu kuongezeka ukiukaji wa haki za binadamu katika nchi iliyokumbwa na vita ya Sudan Kusini.