-
Serikali ya Sudan Kusini yataka Machar atambuliwe kama gaidi
Mar 14, 2017 11:27Serikali ya Sudan Kusini imezitaka nchi za eneo kumtambua Riek Machar, aliyekuwa makamu wa rais wa nchi hiyo kama gaidi, baada ya askari watiifu kwa kiongozi huyo kuwateka nyara wafanyakazi wawili wa kigeni, na kuitisha kikomboleo ili wawaachie huru.
-
Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wakimbilia Sudan
Mar 13, 2017 03:28Maelfu ya raia wa Sudan Kusini wamekimbilia Sudan kutokana na matatizo mengi yanayoikabili nchi yao ukiwemo ukame.
-
Asasi za kiraia zalalamikia ada ya juu ya viza ya kazi Sudan Kusini
Mar 12, 2017 04:02Asasi za kiraia na mashirika ya kutetea haki za binadamu pamoja na yale ya misaada ya kibinadamu yamekosoa hatua ya serikali ya Sudan Kusini kuongeza malipo ya viza ya kazi kwa kiwango cha juu zaidi.
-
Kiir awaachia huru majenerali wa jeshi na wafungwa wa kisiasa
Mar 11, 2017 03:17Rais wa Sudan Kusini, Salva Kiir amewaachia huru makamanda waandamizi wa jeshi la nchi hiyo na kuahidi kuwaachia huru wafungwa wa kisiasa katika siku zijazo.
-
UN yatoa indhari: Hali ya kibinadamu Sudan Kusini inazidi kuwa mbaya
Mar 01, 2017 12:26Umoja wa Mataifa umetahadharisha kuwa hali ya kibinadamu nchini Sudan Kusini inazidi kuwa mbaya na kutoa wito wa kurahisisha ufikishaji misaada katika maeneo yaliyoathiriwa na machafuko na ya watu wenye ukata wa maisha.
-
Juhudi za Rais wa Sudan Kusini za kurejesha amani nchini
Feb 22, 2017 04:24Rais wa Sudan Kusini ameyatolea mwito makundi ya kisiasa nchini humo kujiunga na mazungumzo ya kitaifa.
-
Kuendelea mgogoro Sudan Kusini na kujiuzulu maafisa kadhaa wa jeshi na serikali
Feb 21, 2017 00:34Mgogoro wa kisiasa wa Sudan Kusini umepanuka zaidi hadi serikalini ambapo siku kadhaa zilizopita baadhi ya viongozi wa serikali ya nchi hiyo wamejiuzulu nyadhifa zao.
-
Mkuu wa Mahakama za Kijeshi Sudan Kusini ajiuzulu, aishutumu serikali
Feb 18, 2017 12:51Mkuu wa Mahakama za Kijeshi nchini Sudan Kusini, Kanali Khalid Ono Loki amejiuzulu na kueleza kwamba uingiliaji unaofanywa kutoka ngazi za juu umesababisha kutowezekana kuwachukulia hatua za kuwaadhibu askari wanaotuhumiwa kufanya ubakaji na mauaji wakati wa vita vya ndani nchini humo.
-
Waziri ajiuzulu Sudan Kusini, ajiunga na kundi la waasi
Feb 17, 2017 11:05Waziri wa Leba wa Sudan Kusini ametangaza kujiuzulu na kusema kuwa sasa ataunga mkono harakati zinazofanywa na waasi wanaomuunga mkono Riek Machar, Makamu wa Rais wa zamani wa nchi hiyo.
-
UN: Wakimbizi waliotoweka Sudan Kusini hatima yao haijulikani
Feb 17, 2017 04:06Umoja wa Mataifa umeelezea wasiwasi ulionao kutokana na kutokuweko taarifa za kutosha kuhusiana na hali ya wakimbizi waliotoweka huko katika nchi ya Sudan Kusini.