-
Marekani yakiri kuua mamia ya raia katika hujuma zake za anga Iraq, Syria
Jun 03, 2017 03:27Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imekiri kuwa raia zaidi ya 484 wa Iraq na Syria wameuawa katika mashambulizi yake ya anga tokea katikati ya mwaka 2014 hadi sasa.
-
Israel yakiri kuwapa matibabu magaidi wanaojeruhiwa nchini Syria
Jun 02, 2017 09:37Afisa mmoja wa utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwa, jeshi la utawala huo linawapa matibabu magaidi na wapinzani wa serikali ya Syria ambao wanajeruhiwa vitani nchini Syria na kuutaja msaada huo kuwa eti ni 'kazi takatifu zaidi'.
-
Baada ya taabu nyingi hatimaye Algeria yakubali kuwapokea wakimbizi wa Syria kuingia nchini humo
Jun 02, 2017 03:22Wizara ya Mambo ya Nje ya Algeria imekubali kuwapokea wakimbizi wa Syria kuingia ardhi ya nchi hiyo, ikiwa ni baada ya wakimbizi hao kuteseka kwa muda mrefu katika mpaka wa taifa hilo na Morocco.
-
Maneva ya Hashdu sh-Sha'abi ya kupambana na ugaidi katika mpaka wa Iraq na Syria
Jun 01, 2017 05:37Hivi karibuni Msemaji wa Harakati ya Wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq, alinukuliwa akielezea utayarifu wa wapiganaji wa harakati hiyo kwa ajili ya kupambana na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh katika ardhi ya Syria kupitia ushirikiano na serikali ya Damascus.
-
Msalaba Mwekundu: Mashirika ya kimataifa hayawezi kudhamini mahitaji ya wakimbizi wa Syria
Jun 01, 2017 03:01Shirika la Kimataifa la msalaba Mwekundu limetangaza kuwa, mashirika ya kimataifa ya utoaji misaada hayana uwezo wa kudhamini mahitaji ya wakimbizi wa Syria.
-
Kuongezwa muda wa vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya Syria
May 31, 2017 03:40Umoja wa Ulaya ukiendeleza siasa zake za chuki na uadui dhidi ya serikali halali ya Syria, umeongeza muda wa vikwazo vyake dhidi ya nchi hiyo.
-
Hashdu Sha'abi Iraq: Tupo tayari kwenda kuisafisha Syria kutokana na Daesh
May 30, 2017 03:57Msemaji wa Harakati ya wananchi ya Hashdu sh-Sha'abi nchini Iraq, ameelezea utayarifu wa wapiganaji wake kwa ajili ya kupambana na genge la kigaidi na ukufurishaji la Daesh ndani ya ardhi ya Syria kupitia ushirikiano kamili wa serikali ya nchi hiyo.
-
Mashambulizi ya anga ya Marekani yaua raia 117 mashariki mwa Syria
May 26, 2017 09:47Mashambulizi ya anga ya Marekani na waitifaki wake yameuawa raia wasiopungua 117 akthari yao wakiwa wawanake na watoto wadogo katika mkoa wa Dayr al-Zawr, mashariki mwa Syria.
-
Algeria: Nguvu za kijeshi Syria, Yemen na Libya zmesababisha maafa
May 22, 2017 03:05Spika wa Bunge la Algeria ametangaza kuwa, kutumiwa nguvu za kijeshi katika nchi za Syria, Yemen na Libya kumesababisha kutokea maafa ya kibinadamu katika nchi hizo.
-
Marekani yaendeleza siasa za kibeberu Syria
May 20, 2017 08:15Mtaalamu mmoja wa masuala ya kisiasa wa nchini Marekani amesema kuwa, nchi hiyo inaendeleza siasa za kibeberu nchini Syria licha ya Donald Trump kuonesha wakati wa kampeni za uchaguzi kuwa hatojiingiza sana katika masuala ya ndani ya Syria.