-
Israel: Wakati umefika wa kumuua Rais Assad wa Syria
May 17, 2017 09:32Waziri wa Nyumba na Ujenzi wa utawala haramu wa Israel amesema wakati umefika Rais Bashar al-Assad wa Syria auawe kutokana na eti jinai anazowafanyia wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Syria yakanusha madai bandia ya Marekani dhidi yake
May 16, 2017 09:47Syria imekanusha vikali madai bandia yaliyotolewa na Marekani kwamba serikali ya Damascus imejenga gereza la kuwachoma moto wafungwa.
-
Marekani yakiri kuwa, mpango wa Trump kuhusu Syria ulikuwa 'kosa la mauaji'
May 16, 2017 03:48Balozi wa zamani wa Marekani nchini amesema kuwa, kitendo cha Washington cha kuwapatia silaha Wakurdi wa Syria, kimeifanya hali ya eneo kuwa mbaya sana.
-
Mapigano yashtadi kati ya makundi ya kigaidi mjini Idlib nchini Syria
May 13, 2017 23:10Sambamba na kukaribia kwa duru mpya ya mazungumzo ya Geneva kuhusiana na mgogoro wa Syria, mapigano yameshtadi kati ya makundi ya wabeba silaha katika mji wa Idlib, kaskazini magharibi mwa nchi hiyo.
-
Magaidi 350 raia wa Uingereza warejea nyumbani kutoka Syria
May 06, 2017 03:17Mashirika ya kijasusi ya Uingereza yameonya kuwa raia 350 wa nchi hiyo ambao ni magaidi wanachama wa kundi la kigaidi la ISIS wamerejea nchini humo kutoka Syria na sasa ni tishio kubwa kwa usalama.
-
Marekani yakiri kuhusika na shambulizi dhidi ya msikiti nchini Syria
May 05, 2017 09:07Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) hatimaye imekiri kuwa ndege za kijeshi za US zilitekeleza shambulizi a anga dhidi ya msikiti mmoja nchini Syria ambapo makumi ya watu waliuawa.
-
Duru mpya ya mazungumzo ya Syria na taathira ya hatua za kijeshi za Marekani
May 04, 2017 10:36Duru ya nne ya mazungumzo ya mjini Astana, Kazakhstan ilianza Jumatano ya jana. Duru hiyo ya mazungumzo ya Syria imefanyika huku yakishuhudiwa mabadiliko madogo kwa upande wa washiriki.
-
Magaidi wa ISIS washambulia kambi ya wakimbizi Syria na kuua 36
May 02, 2017 23:15Kwa akali watu 36 wameuawa katika shambulizi la kigaidi dhidi ya kambi ya wakimbizi lililofanywa jana Jumanne na kundi la kigaidi na kitakfiri la Daesh, kaskazini mashariki mwa Syria.
-
Majeshi ya Iran, Syria kushirikiana katika vita dhidi ya ugaidi
May 01, 2017 23:35Wakuu wa majeshi ya Iran na Syria wamesisitiza kuhusu kuimarisha ushirikiano wa majeshi ya nchi mbili katika vita dhidi ya ugaidi huku wakilaani vikali hujuma za Marekani na Utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Syria.
-
Marekani: Mashambulizi yetu yameua mamia ya raia Iraq na Syria
May 01, 2017 03:02Wizara ya Ulinzi ya Marekani, Pentagon, imetoa taarifa na kukiri kwamba mashambulizi ya muungano unaodaiwa kupambana na magaidi wa Daesh hadi sasa yameshaua raia 352 katika nchi za Iraq na Syria tangu mwaka 2014.