-
Russia: Tunapinga pendekezo lolote la kutaka kuiondoa madarakani serikali ya Syria
Mar 05, 2017 00:23Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amesema kuwa, njama za baadhi ya nchi zenye lengo kupatikana mabadiliko katika suala la mazungumzo ya kutatua mgogoro wa Syria kupitia mabadiliko katika muundo wa serikali ya Damascus, ni suala lisilokubalika.
-
UN: Mazungumzo juu ya Syria huko Geneva, yametoa ajenda iliyo wazi
Mar 04, 2017 03:56Umoja wa Mataifa umepongeza duru ya hivi punde ya mazungumzo ya amani ya Syria iliyomalizika jana Ijumaa mjini Geneva nchini Uswisi.
-
Abdollahian: Kukombolewa mji wa Palmyra ni ishara kuwa magaidi wamefikia mwisho wao
Mar 03, 2017 04:09Msaidizi maalumu wa Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu nchini Iran (Bunge) katika masuala ya kimataifa amesema kuwa, kukombolewa kikamilifu mji wa kihistoria wa Palmyra katika mkoa wa Homs, magharibi mwa Syria, ni ishara ya wazi kwamba magaidi wamefikia mstari wa mwisho wa uhai wao.
-
Al-Sisi: Misri inapongeza juhudi za jeshi la Syria katika kuwatokomeza magaidi
Mar 03, 2017 00:40Rais Abdel Fattah el-Sisi wa Misri amesema kuwa, sambamba na nchi yake kufungamana na misingi ya kutoingilia masuala ya ndani ya Syria, pia inaunga mkono juhudi za jeshi la nchi hiyo katika kuwatokomeza magaidi.
-
VIDEO: Wanajeshi wa Syria waingia katika mji wa Palmyra baada ya kuwafurusha magaidi
Mar 02, 2017 14:56Jeshi la Syria limetangaza rasmi kuwa limeukomboa mji wa Tadmur (Palmyra) kutoka mikononi mwa genge la kigaidi la Daesh baada ya kuwafurusha magaidi hao.
-
Magaidi wafurushwa tena katika mji wa kihistoria wa Tadmur nchini Syria
Mar 02, 2017 11:01Kundi linalojiita la Wafuatiliaji wa Haki za Binadamu nchini Syria lenye makao yake mjini London Uingereza na ambalo lina mfungamano wa karibu na magenge ya kigaidi nchini Syria limetangaza kuwa, magaidi wa Daesh wamekimbia kutoka maeneo mengi ya mji wa kihistoria wa Tadmur (Palmyra) mkoani Homs.
-
Kugonga mwamba njama za Magharibi dhidi ya Syria katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa
Mar 02, 2017 10:52Kura ya veto iliyotumiwa na Russia na China dhidi ya rasimu ya azimio la Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa imegonga vichwa vikuu vya habari katika nchi mbalimbali duniani.
-
Iraq: Tumeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh
Mar 02, 2017 04:44Serikali ya Iraq imetangaza kuwa, imeazimia kuliangamiza kikamilifu kundi la kigaidi la Daesh na kwamba, vikosi vya ulinzi vya nchi hiyo vinaendelea vizuri na operesheni zake dhidi ya wanamgambo hao wa kigaidi.
-
Russia na China zazuia njama za Marekani na washirika wake UNSC dhidi ya Syria
Mar 01, 2017 01:03Russia na China zimezuia kupasishwa muswada wa azimio la kuiwekea vikwazo serikali ya Syria, baada ya kupiga kura ya veto ya kupinga muswada huo.
-
VIDEO: Israel yatuma majasusi nchini Syria
Feb 26, 2017 23:15Kikosi maalumu cha jeshi la Israel kimeingia kwenye ardhi ya Syria kwa ajili ya kufanya ujasusi.