-
Waziri Mkuu wa Syria: Ushirikiano wa Iran na Syria umeimarisha mhimili wa mapambano
Apr 04, 2016 02:55Waziri Mkuu wa Syria amesema kuwa ushirikiano wa pande zote kati ya Iran na Syria umeimarisha mhimili wa muqawama dhidi ya njama za Kizayuni na Marekani katika eneo.
-
Algeria yapokea wakimbizi wa Syria, Libya na Mali
Apr 03, 2016 09:02Gazeti moja linalochapishwa nchini Uingereza limeripoti kuwa Algeria imekuwa mwenyeji wa makumi ya maelfu ya wakimbizi kutoka Syria, Libya na Mali.
-
Katibu MKuu wa UN: Mgogoro wa Syria hautatuki kwa mtutu wa bunduki
Apr 02, 2016 22:26Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki-moon amesisitiza kwa mara nyengine tena kuwa mgogoro wa Syria hauwezi kutatuliwa kwa kutumia nguvu za kijeshi.
-
Kaburi la umati lagunduliwa Palmyra, nchini Syria
Apr 02, 2016 03:22Jeshi la Syria limegundua kaburi la umati ambalo lilikuwa limefukiwa makumi ya watu waliouawa na kundi la kigaidi na kitaifiri la Daesh katika mji uliokombolewa hivi karibuni wa Palmyra.
-
Israeli imetoa matibabu kwa magaidi 2,100 kutoka Syria
Apr 01, 2016 03:22Utawala wa Kizayuni wa Israel hadi sasa umetoa matibabu kwa magaidi zaidi ya 2,100 wanaopigana ndani ya Syria kuiangusha serikali halali ya nchi hiyo.
-
Bashar Assad aafiki uchaguzi wa mapema Syria
Mar 31, 2016 09:37Rais wa Syria ametangaza kuwa serikali ya nchi hiyo iko tayari kwa ajili ya kufanyika uchaguzi wa rais wa mapema.
-
Algeria kuendelea kuiunga mkono serikali ya Rais Bashar al Assad wa Syria
Mar 30, 2016 11:34Waziri Mkuu wa Algeria amesema kuwa, nchi yake itaendelea kuiunga mkono serikali halali iliyochaguliwa na wananchi ya Rais Bashar al Assad wa Syria.
-
Mwanzo wa kuangamizwa magaidi wa ISIS baada ya kukombolewa Palmyra
Mar 28, 2016 23:03Mafanikio ya kistratijia ya Jeshi la Syria katika kuukomboa kikamilifu mji wa kihistoria wa Tadmur au Palmyra ni jambo ambalo limezidi kumuimarisha Rais Bashar al Assad mbali na kuwa ni ujumbe kwa dunia kuwa, jeshi la Syria ndilo pekee linaloweza kuangamiza magaidi wa ISIS au Daesh nchini humo.
-
Mufti wa Syria: Tuliitahadharisha Ulaya kuhusu hatari ya ugaidi
Mar 28, 2016 08:31Mufti Mkuu wa Syria Sheikh Ahmad Badruddin Hassoun amesema nchi hiyo ilikwisha zitahadharisha hapo kabla nchi za Ulaya kuhusu hatari ya kupenya na kuenea ugaidi katika nchi hizo.
-
Ugaidi hauna mustakabali Mashariki ya Kati
Mar 28, 2016 02:39Afisa mwandamizi wa Iran amepongeza ushindi wa hivi karibuni wa jeshi la Syria dhidi ya magaidi wa ISIS (Daesh) katika mji wa Kihistoria wa Palmyra na kusema makundi ya kigaidi hayana mustakabali Mashariki ya Kati.