-
Kufeli siasa za Uturuki mkoani Idlib, Syria
Feb 28, 2020 23:08Wajumbe wa kisiasa wa Russia na Uturuki wamekutana mjini Ankara kujadiliana masuala ya kaskazini mwa Syria hasa ya mkoa wa Idlib.
-
Askari wengi wa jeshi la Uturuki waangamizwa kaskazini mwa Syria, Ankara yasema italipiza kisasi
Feb 28, 2020 04:24Vyombo vya habari katika eneo vimeripoti kuwa askari wasiopungua 33 wa jeshi la Uturuki wameangamizwa katika mkoa wa Idlib kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Jeshi la Syria lakomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib
Feb 27, 2020 21:47Taasisi inayoitwa 'Watetezi wa Haki za Binaadamu Syria' imetangaza kuwa jeshi la Syria limefanikiwa kukomboa kikamilifu kusini mwa mkoa wa Idlib, kaskazini mwa nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Majibu ya hapana ya Russia kwa ombi la Marekani la kuzungumza na magaidi wa Syria
Feb 25, 2020 07:06Ushindi wa mfululizo wa jeshi la Syria na waitifaki wake katika mkoa wa Idlib umepokewa kwa hisia kali, si na Uturuki pekee na uvamizi wake wa kijeshi huko Syria, lakini pia Marekani nayo ambayo inaongoza muungano wa nchi za Magharibi na za Kiarabu wa eti kupambana na ugaidi nchini humo, imeitaka Russia ifanye mazungumzo na magaidi hao.
-
Madai ya Erdogan kwamba Uturuki inafanya juhudi za kurejesha utulivu kaskazini mwa Syria
Feb 25, 2020 04:30Rais wa Uturuki amedai kwamba nia ya nchi yake ni kurejesha utulivu na uthabiti katika mkoa wa Idlib nchini Syria.
-
Algeria yataka Syria irejeshwe katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Feb 22, 2020 21:46Rais wa Algeria ametoa wito wa kurejeshwa Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.
-
Ujerumani yaitaka Saudi Arabia ichunge haki za binadamu
Feb 22, 2020 03:50Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani amewataka viongozi wa Saudi Arabia wafanyie marekebisho sheria zao na wachunge haki za binadamu.
-
Mwakilishi wa UN katika masuala ya Syria atoa wito wa kusimamishwa vita Idlib
Feb 20, 2020 04:18Mwakilishi maalumu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Syria ametoa wito wa kusimamishwa vita mara moja katika eneo la Idlib huko kaskazini mwa Syria.
-
Algeria yataka Syria irejeshwe kwenye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu
Feb 14, 2020 04:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Algeria ameziasa nchi za Kiarabu ziharakishe mchakato wa kuirejesha Syria katika Jumuiya ya Nchi za Kiarabu (Arab League).
-
Wakazi wa mkoa wa al Hasakah Syria waanzisha mapambano ya kuwafukuza wanajeshi wa Marekani
Feb 13, 2020 23:10Gavana wa mkoa wa al Hasakah nchini Syria amezitaja hatua za mapambano zilizochukuliwa na raia wa vijiji kadhaa vya mkoa huo dhidi ya wanajeshi wa Marekani kuwa ni kuanza kwa mapambano ya wananchi ya kuwafukuza wanajeshi vamizi wa Marekani huko Syria.