-
Wizara ya Ulinzi ya Russia yatoa jibu kwa chokochoko za Uturuki ndani ya ardhi ya Syria
Feb 13, 2020 03:54Wizara ya Ulinzi ya Russia imetangaza kuwa, kutoheshimu Uturuki ahadi zake kutotekeleza majukumu yake ndiko kulikosababisha kuzuka mgogoro huko Idlib nchini Syria.
-
Uturuki yaendelea kujizatiti kijeshi kinyume cha sheria kaskazini mwa Syria
Feb 09, 2020 23:38Jeshi la Uturuki limeendelea kujizatiti kaskazini mwa Syria baada ya kuingia msafara mpya wa kijeshi wa nchi hiyo katika mkoa wa Idlib.
-
Al Sisi atahadharisha kuhusu kupelekwa magaidi wa Syria katika nchi ya Libya
Feb 08, 2020 23:12Rais wa Miisri ametahadharisha kuwa kuhamisha magaidi walioko Syria na kuwapelekwa Libya kutakuwa na matokeo hatari kwa nchi zote jirani za Kiafrika.
-
Ndege za kivita za Israel zatumia ndege ya abiria kama ngao Syria
Feb 07, 2020 23:28Wizara ya Ulinzi ya Russia imesema ndege za kijeshi za utawala haramu wa Israel zimetumia ndege ya abiria kama ngao ya kujikinga katika uvamizi wake mpya dhidi ya Syria.
-
Mapigano yashtadi kati ya majeshi ya Uturuki na Syria, askari kadhaa wa pande mbili wauawa
Feb 04, 2020 04:10Askari kadhaa wameuawa na kujeruhiwa katika mapigano kati ya majeshi ya Syria na Uturuki yaliyotokea kwenye eneo la kaskazini ya ardhi ya Syria.
-
Russia yatiwa wasi wasi na mashambulizi ya magaidi katika mkoa wa Idlib, Syria
Feb 04, 2020 01:15Serikali ya Russia imetoa radiamali yake kufuatia baadhi ya ripoti zinazohusu kushambuliwa askari wa Uturuki katika operesheni zinazofanywa na askari wa Syria.
-
Tisho la Erdoğan kuishambulia kijeshi Syria
Feb 02, 2020 22:59Rais Recep Tayyip Erdoğan wa Uturuki ametishia kuishambulia kijeshi Syria.
-
Katibu Mkuu wa UN atahadharisha kuhusu kushadidi mapigano kaskazini mwa Syria
Feb 02, 2020 12:38Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu kuongezeka mapigano na mivutano ya kijeshi katika maeneo ya kaskazini magharibi mwa Syria.
-
Kukombolewa Khan Tuman; ushindi muhimu nchini Syria
Jan 31, 2020 08:29Vikosi vya jeshi la Syria vimelikomboa eneo la Khan Tuman katika operesheni za kuyatimua makundi ya kigaidi katika maeneo ya nchi hiyo yaliyokuwa yamevamiwa na kukaliwa kwa mabavu na makundi hayo.
-
Syria: Ugaidi wa kiuchumi ni mwendelezo wa ugaidi wa kifizikia
Jan 30, 2020 09:59Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amesema kuwa ugaidi wa kiuchumi ni mwendelezo wa hatua zilizo dhidi ya ubinaadamu za kuyatumia makundi ya kigaidi.