-
Araqchi: Kuvuka kipindi cha sasa kunahitaji kujiepusha na mifarakano
Dec 28, 2024 03:59Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amewaambia maafisa wakuu wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu kwamba: Kuvuka kipindi hiki chenye taharuki nyingi katika eneo la Magharibi mwa Asia kunahitaji busara, ushirikishwaji, ushirikiano na kuepusha mizozo na kujitakia maslahi ya muda mfupi.
-
Rais Putin wa Russia: Ninaamini Mungu. Na Mungu yu pamoja nasi
Dec 27, 2024 03:00Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, Mungu yuko pamoja na nchi yake akionyesha kujiamini kwamba Moscow itashinda katika mzozo wake na Ukraine.
-
Araghchi: Syria itashuhudia mabadiko makubwa
Dec 25, 2024 08:47Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, ni mapema mno kutabiri mustakabali wa Syria hasa kwa wale wanaodhani kuwa wameshinda.
-
Telegraph : Marekani imeyasaidia makundi ya wanamgambo kuipindua serikali ya Bashar al Assad
Dec 22, 2024 00:09Gazeti la Telegraph linalochapishwa nchini Uingereza limesema katika ripoti yake kuwa Marekani iliwaunga mkono waasi wa Syria ili kuipindua serikali ya Bashar al Assad.
-
Katibu Mkuu UN: Natiwa wasiwasi na kushtadi mivutano huko Syria
Dec 19, 2024 07:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasiwasi wake juu ya kuongezeka hali ya mvutano kati ya makundi yenye silaha nchini Syria na wapiganaji wa Kikurdi.
-
Putin: Viongozi wa Magharibi wanadhani wao wanateuliwa na Mungu, japokuwa hawamuamini Mungu
Dec 17, 2024 02:34Rais Vladimir Putin wa Russia amesema, nchi za Magharibi zinaendelea kufanya mambo kana kwamba ni wawakilishi wa Mungu duniani kwa kujaribu kudumisha ukiritimba wao wa kimataifa kwa kuweka kanuni za kidanganyifu.
-
Ubalozi wa Iran nchini Syria kufunguliwa hivi karibuni
Dec 16, 2024 03:58Hossein Akbari Balozi wa Iran nchini Syria ameeleza kuwa ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu mjini Damascus ambao ulifungwa kufuatia matukio ya karibuni katika nchi hiyo ya Kiarabu utaanza shughuli zake hivi karibuni.
-
Mkuu wa Sera za Nje wa EU atoa taarifa kuhusu Syria
Dec 16, 2024 03:53Mkuu wa Sera za Nje wa Umoja wa Ulaya ametangaza kuwa kipaumbele cha Ulaya ni kuhakikisha amani inakuwepo katika eneo na kwamba umoja huo utashirikiana na wadau wote katika eneo zima ikiwemo Syria katika uwanja huo.
-
Radiamali ya kwanza ya Syria kwa mashambulizi ya Israel baada ya kuanguka serikali ya Assad
Dec 15, 2024 08:08Hatimaye watawala wapya wa Syria wametoa radiamali dhidi ya jinai za utawala haramu wa Israel baada ya mashambulizi ya mara kwa mara na mfululizo ya Tel Aviv dhidi ya umoja wa ardhi ya nchi hiyo na pia kukaliwa kwa mabavu maeneo mengi ya Syria.
-
Droni za Yemen zahepa mifumo ya utunguaji ya utawala wa Kizayuni, zapiga Tel Aviv na Ashkelon
Dec 14, 2024 02:57Vikosi vya Jeshi la Yemen vimetangaza kuwa vimefanya mashambulizi ya ndege zisizo na rubani kulenga mji wa Jaffa karibu na Tel Aviv pamoja na mji wa Ashkelon katika eneo la kati la ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu katika operesheni mpya dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.