Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Russia: Magaidi, White Helmets wakutana kupanga igizo la shambulizi la kemikali Idlib

    Russia: Magaidi, White Helmets wakutana kupanga igizo la shambulizi la kemikali Idlib

    Sep 09, 2018 03:03

    Russia imesema magenge ya kigaidi na kundi eti la 'kutoa misaada' la White Helmets linaloungwa mkono na Wamagharibi yamekutana kaskazini magharibi mwa mkoa wa Idlib, kwa shabaha ya kuratibu igizo la hujuma ya kemikali nchini Syria ili kuielekezea kidole cha lawama serikali halali ya Rais Bashar al-Assad.

  • Uturuki yazisaidia kifedha familia za wapinzani wa serikali ya Syria

    Uturuki yazisaidia kifedha familia za wapinzani wa serikali ya Syria

    Sep 08, 2018 02:32

    Duru za habari zimefichua uungaji mkono wa kifedha wa serikali ya Uturuki kwa familia za wapinzani wa serikali ya Syria waliouawa.

  • Mkutano wa pande tatu Tehran; azma ya kweli ya kuangamiza ugaidi katika mji wa Idlib Syria

    Mkutano wa pande tatu Tehran; azma ya kweli ya kuangamiza ugaidi katika mji wa Idlib Syria

    Sep 08, 2018 02:27

    Mkutano wa Marais wa Iran, Russia na Uturuki umefanyika hapa mjini Tehran ajenda kuu ikiwa ni matukio ya Syria.

  • Taarifa ya pamoja ya marais wa Iran, Russia na Uturuki kuhusu Syria katika kikao cha Tehran

    Taarifa ya pamoja ya marais wa Iran, Russia na Uturuki kuhusu Syria katika kikao cha Tehran

    Sep 07, 2018 10:37

    Marais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia, na Uturuki wametoa taarifa ya pamoja baada ya mkutano wao wa pande tatu mjini Tehran ambapo wamesisitiza kuhusu msimamo wao wa kudumishwa uhuru, mamlaka ya kujitawala na kulinda mipaka yote ya Syria.

  • Imad Khamis: Hivi karibuni Syria itarejea katika hali yake ya kawaida

    Imad Khamis: Hivi karibuni Syria itarejea katika hali yake ya kawaida

    Sep 07, 2018 03:16

    Waziri Mkuu wa Syria, Imad Khamis amesema kuwa kwa mara nyingine nchi hiyo itakuwa mchezaji muhimu katika nyuga tofauti kieneo na duniani na kwamba hivi karibuni taifa la Syria litarejea katika hali yake ya kawaida.

  • Mkutano wa Troika ya Syria mjini Tehran, kigezo bora cha kuigwa cha uishirikiano wa kikanda

    Mkutano wa Troika ya Syria mjini Tehran, kigezo bora cha kuigwa cha uishirikiano wa kikanda

    Sep 07, 2018 02:50

    Leo Ijumaa Tehran ni mwenyeji wa kikao cha viongozi wa nchi tatu muhimu katika mchakato wa kurejesha amani nchini Syria, yaani Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Russia na Uturuki.

  • Waziri wa Ulinzi wa Iran avipongeza vikosi vilivyokabiliana na magaidi wa Daesh nchini Syria

    Waziri wa Ulinzi wa Iran avipongeza vikosi vilivyokabiliana na magaidi wa Daesh nchini Syria

    Sep 05, 2018 22:29

    Waziri wa Ulinzi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, vikosi vya kijeshi vilivyopambana na magaidi nchini Syria vimeweza kusambaratisha njama kubwa iliyokuwa imeratibiwa dhidi ya usalama wa Mashariki ya Kati.

  • Waziri wa Syria: Kuna baadhi ya nchi zinafanya njama kufelisha maridhiano Idlib

    Waziri wa Syria: Kuna baadhi ya nchi zinafanya njama kufelisha maridhiano Idlib

    Sep 04, 2018 22:01

    Waziri wa Maridhiano ya Kitaifa nchini Syria amesema kuwa, kuna baadhi ya nchi zinafanya njama ya kufelisha mpango wa usuluhishi katika mkoa wa Idlib, kaskazini magharibi mwa Syria.

  • Hizbullah: Marekani haina ubavu wa kuwawekea masharti walioshinda vita Syria

    Hizbullah: Marekani haina ubavu wa kuwawekea masharti walioshinda vita Syria

    Sep 04, 2018 03:37

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imesema kuwa Marekani ambayo sera zake za kuyasaidia makundi ya kigaidi kwa ajili ya kuindoa madarakani serikali halali ya Syria zimefeli na kushindwa haina haki na ubavu wa kutoa masharti ya kuondoka washauri wa kijeshi wa Iran na wapiganaji wa Hizbullah nchini Syria ambao wameshinda vita dhidi ya magaidi.

  • Ufaransa yakiri, Syria imeshinda vita vya ndani

    Ufaransa yakiri, Syria imeshinda vita vya ndani

    Sep 03, 2018 03:09

    Ufaransa na Uingereza ambazo ni nchi mbili wanachama katika Umoja wa Ulaya (EU) tangu mwaka 2011 zikiwa katika muungano wa nchi za Magharibi na za Kiarabu wa kutaka kuiondoa madarakani serikali halali ya Syria, zimekuwa zikitoa misaada ya pande zote kwa makundi ya waasi na ya kigaidi kwa shabaha eti ya kuipindua serikali ya Rais Bashar Assad.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS