Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • US: Ni kweli tumeua raia 61 katika hujuma zetu za anga Syria na Iraq

    US: Ni kweli tumeua raia 61 katika hujuma zetu za anga Syria na Iraq

    Sep 02, 2017 03:23

    Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani umekiri kuua makumi ya raia katika wimbi jipya la mashambulizi yake ya anga katika nchi za Iraq na Syria.

  • Iran: Nchi yoyote haina haki ya kuiamulia Syria mambo yake

    Iran: Nchi yoyote haina haki ya kuiamulia Syria mambo yake

    Aug 28, 2017 23:55

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa, wananchi wa nchi za eneo hili ndio waamuzi wakuu wa mambo ya nchi zao na kwamba nchi yoyote haina haki ya kuwapangia cha kufanya wananchi wa Syria.

  • Magaidi 800 wa Daesh waangamizwa na jeshi la Syria katika mji wa Raqqa

    Magaidi 800 wa Daesh waangamizwa na jeshi la Syria katika mji wa Raqqa

    Aug 28, 2017 10:37

    Jeshi la Syria kwa kusaidiwa na ndege za kijeshi za nchi hiyo, limeangamiza magaidi 800 katika viunga vya mashariki mwa mji wa Raqqa, kaskazini mwa nchi hiyo.

  • Bashar al Assad: Maadui wataendelea kupata kipigo

    Bashar al Assad: Maadui wataendelea kupata kipigo

    Aug 27, 2017 23:30

    Rais wa Syria amesema kuwa maadui wataendelea kupata kipigo madhali irada ya muqawama inaendelea kuwepo katika nyoyo na nafsi za vijana wa Syria.

  • Matamshi ya chuki ya Netanyahu dhidi ya Iran

    Matamshi ya chuki ya Netanyahu dhidi ya Iran

    Aug 25, 2017 02:05

    Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwa mara nyingine ameonana na Rais Vladimir Putin wa Russia katika mji wa Sochi na kujaribu kwa tamaa zake kuionesha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa eti ni nchi hatari katika eneo la Mashariki ya Kati na duniani kiujumla; hata hivyo amefeli.

  • Rais wa Syria: Tumezishinda njama za madola ya Magharibi

    Rais wa Syria: Tumezishinda njama za madola ya Magharibi

    Aug 20, 2017 22:01

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa pamoja na kwamba taifa la Syria limepata hasara kubwa katika vita vya kupambana na ugaidi, lakini njama za madola ya Magharibi zimefelishwa nchini humo.

  • Maonyesho ya kimataifa mjini Damascus, harakati chanya katika njia ya kuijenga upya Syria

    Maonyesho ya kimataifa mjini Damascus, harakati chanya katika njia ya kuijenga upya Syria

    Aug 20, 2017 21:56

    Mshauri wa Rais wa Syria katika Masuala ya Kisiasa na Vyombo vya Habari, Bouthaina Shaaban, amesema kuwa, maonyesho ya kimataifa ya mjini Damascus na pia mahudhurio makubwa ya taasisi za ndani na nje katika maonyesho hayo yanatoa ujumbe wa kumalizika vita, kushindwa magaidi na kuanza mchakato wa ujenzi mpya wa Syria.

  • London yahofia kurejea Uingereza mamia ya magaidi kutoka Syria na Iraq

    London yahofia kurejea Uingereza mamia ya magaidi kutoka Syria na Iraq

    Aug 20, 2017 12:01

    Waziri wa Nchi wa Usalama wa Ndani wa Uingereza ametahadharisha kuwa tishio la ugaidi dhidi ya nchi hiyo linaongezeka kufuatia kushindwa kundi la kigaidi la Daesh huko Iraq na Syria.

  • Russia yazikosoa vikali Marekani na Uingereza kwa kuwapa magaidi silaha za kemikali huko Syria

    Russia yazikosoa vikali Marekani na Uingereza kwa kuwapa magaidi silaha za kemikali huko Syria

    Aug 17, 2017 03:09

    Russia imetangaza kuwa Marekani na Uingereza zinakiuka sheria za kimataifa kwa kuwapatia silaha za kemikali magaidi huko Syria.

  • Syria: US na UK ziliwapa magaidi silaha za kemikali zilizoua raia Khan Sheykhoun

    Syria: US na UK ziliwapa magaidi silaha za kemikali zilizoua raia Khan Sheykhoun

    Aug 17, 2017 02:43

    Uchunguzi uliofanywa na serikali ya Damascus umebainisha kuwa, Marekani, Uingereza na waitifaki wao zinayapa silaha zikiwemo za kemikali magenge ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS