-
Marekani yaendeleza ukatili, yaua raia 38 katika hujuma za anga Syria
Aug 17, 2017 02:18Ndege za kivita za muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani zimeendeleza hujuma zake za kikatili, na mara hii zimeua raia 38 katika mji wa Raqqah kaskazini mwa Syria, ndani ya masaa 48 yaliyopita.
-
Raia 30 wa Syria wauawa katika hujuma za ndege za muungano wa US
Aug 09, 2017 02:30Ndege za kivita za muungano unaoongozwa na Marekani zimeendeleza hujuma zake za kikatili, na mara hii zimeua raia 30 katika mji wa Raqqah kaskazini mwa Syria.
-
Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani wakiri kuua mamia ya raia wa Syria na Iraq
Aug 04, 2017 22:09Muungano wa kijeshi unaoongozwa na Marekani katika kile kinachoitwa vita vya kupambana na ugaidi umetangaza katika takwimu zake za kila mwezi kuwa umeua raia 624 kwenye mashambulizi ya anga uliyofanya katika nchi za Iraq na Syria.
-
Iran na Russia kuendelea kushirikiana kuhusu mgogoro wa Syria
Aug 02, 2017 03:42Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Iran na Russia wamesisitizia udharura wa kuendelezwa mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Syria, sambamba na kupambana na magenge ya kigaidi.
-
Syria nayo yaikosoa Saudia kwa kuingiza siasa katika suala la Hijja
Aug 01, 2017 09:19Serikali ya Syria imelalamikia vikali uendeshaji wa kisiasa wa ibada tukufu ya Hijja unaofanywa na utawala wa Aal-Saud wa Saudi Arabia.
-
Rais Bashar al-Assad: Uelewa wa mataifa ya Kiarabu ni sababu ya umoja
Aug 01, 2017 08:35Rais Bashar al-Assad wa Syria amesema kuwa, raia wa mataifa ya Kiarabu wamethibitisha kuwa, wana kiwango cha hali ya juu cha uelewa kuhusu matukio yanayojiri katika eneo la Mashariki ya Kati na kwamba suala hilo linatakiwa liwe kivutio kwa ajili ya umoja wa mataifa yote.
-
Bashar Assad: Syria inakabiliwa na ugaidi hatari
Aug 01, 2017 03:20Rais wa Syria amesema kuwa, nchi hiyo inakabiliwa na ugaidi ambao hauna kifani katika historia ya sasa katika upande wa ukubwa wake, chuki na ukatili wake.
-
Tunisia: Hatukuwahi kukata mahusiano yetu na taifa la Syria
Jul 31, 2017 03:15Waziri wa Mambo ya Nje wa Tunisia amesema kuwa, hakuna wakati ambapo mahusiano ya nchi yake na Syria yalikatika.
-
Ndege za kivita za Marekani zaendelea kuua raia Syria
Jul 30, 2017 23:57Raia sita wameuawa na wengine zaidi ya kumi kujeruhiwa mashariki mwa Syria, katika mashambulizi ya ndege za kivita za muungano eti wa kupambana na Daesh (ISIS) unaoongozwa na Marekani.
-
Syria: Uungaji mkono wa Iran, Russia na Hizbullah kwetu umebadilisha hali ya mlingano duniani
Jul 29, 2017 03:20Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Syria amesema kuwa ugaidi hauwezi kuyashinda mataifa na kusisitiza kwamba jeshi la nchi hiyo na mhimili wa muqawama zitaendelea kupambana na ugaidi.