Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Syria

  • Syria yakosoa kuendelezwa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi yake

    Syria yakosoa kuendelezwa vikwazo vya nchi za Magharibi dhidi yake

    Jul 28, 2017 21:51

    Bashar Jaafari, Mwakilishi wa Kudumu wa Syria katika Umoja wa Mataifa amelaani mwendelezo wa vikwazo vya kidhalimu vya nchi za Magharibi dhidi yake na kusema kwamba vikwazo hivyo vimelemaza kabisa shughuli za mashirika ya misaada ya kibinadamu nchini humo.

  • Raia 29 wauawa katika jinai mpya za muungano unaoongozwa na Marekani nchini Syria

    Raia 29 wauawa katika jinai mpya za muungano unaoongozwa na Marekani nchini Syria

    Jul 27, 2017 03:34

    Raia 29 wa Syria jana waliuawa katika mashambulizi ya ndege za kivita za muungano eti wa kimataifa wa kupambana na Daesh unaoongozwa na Marekani. Mashambulizi hayo yalifanywa katika mji wa Raqqah kaskazini mwa Syria.

  • China iko tayari kusaidia kuimarisha usitishaji vita Syria

    China iko tayari kusaidia kuimarisha usitishaji vita Syria

    Jul 23, 2017 23:21

    Mjumbe Maalumu wa China katika masuala ya Syria amekaribisha na kuunga mkono ubunifu wa Iran, Russia na Uturuki kwa ajili ya kusaidia kupunguza machafuko huko Syria na kueleza kuwa nchi yake iko tayari kutoa misaada inayohitajika ili kuimarisha usitishaji vita nchini humo.

  • Syria yaitaka Marekani na washirika wake walipe fidia ya uharibifu

    Syria yaitaka Marekani na washirika wake walipe fidia ya uharibifu

    Jul 22, 2017 22:19

    Serikali ya Syria imeliandikia barua Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa ikiitaka Marekani na muungano wake usio halali kuilipa fidia serikali ya Damascus kutokana na uharibifu unaotokana na mashambulizi ya muungano huo yanayolenga na kuharibu miundombinu ya nchi huyo.

  • Israel kujenga hospitali itakayotoa matibabu kwa magaidi wa Syria

    Israel kujenga hospitali itakayotoa matibabu kwa magaidi wa Syria

    Jul 20, 2017 09:15

    Utawala haramu wa Kizayuni wa Israel umekusudia kujenga hospitali katika miinuko ya Golan inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo nchini Syria, ambayo itakuwa na jukumu la kutoa matibabu kwa magaidi wanaopigana dhidi ya serikali ya Syria, ikiwa ni katika mwendelezo wa misaada ya utawala huo kwa magaidi hao.

  • Syria yapongeza mchango wa Iran, Russia, Hizbullah katika vita dhidi ya ugaidi

    Syria yapongeza mchango wa Iran, Russia, Hizbullah katika vita dhidi ya ugaidi

    Jul 14, 2017 03:14

    Waziri wa Ulinzi wa Syria amepongeza msaada inaopata nchi yake kutoka Iran, Russia, na Harakati ya Hizbullah ya Lebanon katika vita dhidi ya makundi ya kigaidi nchini humo.

  • Kamanda katika  Jeshi la Israel akiri  jeshi hilo linashirikiana na magaidi  Syria

    Kamanda katika Jeshi la Israel akiri jeshi hilo linashirikiana na magaidi Syria

    Jul 10, 2017 22:37

    Naibu Mkuu wa Kamandi Kuu ya Majeshi ya Utawala wa Kizayuni wa Israel amekiri kuwepo ushirikiano wa karibu baina ya jeshi la utawala huo na magaidi walioko nchini Syria.

  • Rais Bashar al-Assad: Umoja na mshikamano ndio umeshinda fikra za ukufurishaji nchini Syria

    Rais Bashar al-Assad: Umoja na mshikamano ndio umeshinda fikra za ukufurishaji nchini Syria

    Jul 09, 2017 23:43

    Rais Bashar al-Assad wa Syria amekutana na shakhsia mbalimbali na wawakilishi wa asasi za kiraia mjini Hama na kusema kuwa, uelewa wa Wasyria umezuia kupenya fikra ghalati za uchupaji mipaka na ukufurishaji nchini humo.

  • Marekani yakiri kuuwa mamia ya raia Syria na Iraq

    Marekani yakiri kuuwa mamia ya raia Syria na Iraq

    Jul 08, 2017 22:20

    Wizara ya Ulinzi ya Marekani (Pentagon) imekiri kuwa, ndege za kivita za nchi hiyo na waitifaki wake zimeuwa mamia ya raia huko Syria na Iraq.

  • Hizbullah: Marekani na EU zinazuia wakimbizi wa Syria kurejea nchini kwao

    Hizbullah: Marekani na EU zinazuia wakimbizi wa Syria kurejea nchini kwao

    Jul 08, 2017 03:25

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Marekani na Umoja wa Ulaya zimekuwa zikizuia wakimbizi wa Syria kurejea nchini kwao.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS