-
Taliban: Iran ni mfano wa kwanza wenye mafanikio wa kuunda utawala wa Kiislamu katika zama hizi
Feb 11, 2025 07:15Mkuu wa Ofisi ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Serikali ya Muda ya Afghanistan inayoongozwa na Taliban amesema kuasisiwa Mfumo wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni mfano wa kwanza wenye mafanikio wa kuunda utawala wa Kiislamu katika zama za sasa na kwamba utawala huo umekuwa na taathira kwa matukio ya kikanda.
-
Kundi la Taliban kushiriki mkutano wa Doha Qatar
Jun 17, 2024 03:16Serikali inayoongozwa na kundi la wanamgambo wa Taliban nchini Afghanistan imetangaza rasmi nia yake ya kutuma wajumbe katika mkutano wa Doha Qatar utakaozungumzia hali ya taifa hilo.
-
Ombi la jamii ya Shia wa Afghanistan kwa kundi la Taliban
Mar 16, 2024 02:22Wawakilishi wa jamii ya Waislamu wa madhehebu ya Shia nchini Afghanistan wamewasilisha mapendekezo yao ya maandishi kwa Mohammed Abdul Kabir, naibu wa masuala ya kisiasa wa Waziri Mkuu wa utawala wa Taliban.
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Taliban afanya mazungumzo na wabunge wa Iran mjini Kabul
Aug 27, 2023 14:21Ujumbe wa wabunge wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) walioko ziarani nchini Afghanistan wamekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa serikali ya Taliban katika mji mkuu wa nchi hiyo, Kabul.
-
Kushindwa siasa za kibeberu za Marekani nchini Afghanistan
Aug 18, 2023 02:24Serikali ya kundi la Taliban nchini Afghanistan imesema kuwa njama za wavamizi na madola ya kibeberu zitashindwa tu nchini humo.
-
Taliban yaadhimisha mwaka wa pili wa kurudi madarakani Afghanistan huku ikiandamwa na lawama za UN
Aug 16, 2023 02:48Kundi la Taliban la Afghanistan limeadhimisha mwaka wa pili wa kurejea madarakani kwa kuutangaza mnasaba huo kuwa siku rasmi ya mapumziko ikiwa ni kusherehekea kutekwa kwa mji mkuu Kabul na kuanzishwa kile kilichotajwa kuwa ni hali kamili ya usalama kote nchini chini ya uongozi wa "Mfumo wa Kiislamu".
-
Vita vya maneno baina ya Taliban na serikali ya Pakistan vingali vinaendelea
Aug 12, 2023 03:56Waziri wa Mambo ya Nje wa Pakistan amelihutubu kundi la Taliban linalotawala nchini Afghanistan akisema: "amani na usalama wa Pakistan haviwezi kufanyiwa mchezo".
-
Vikwazo vya Umoja wa Ulaya dhidi ya viongozi kadhaa wa Taliban
Jul 23, 2023 02:17Baraza la Ulaya tarehe 20 mwezi huu wa Julai lilitangaza kuwawekea vikwazo Abdul Hakim Haqani Jaji Mkuu wa Mahakama ya Juu ya Afghanistan, Abdul Hakim Sharei Waziri wa Sheria na Moulavi Habibullah Agha Kaimu Waziri wa Elimu katika serikali ya mpito ya Afghanistan kwa kuhusika katika kuwanyima wasichana na wanawake wa Afghanistan haki yao ya kupata elimu, kupata haki ya kisheria, na haki sawa na wanaume wa nchi hiyo.
-
Onyo la Pakistan kwa kundi la Taliban la Afghanistan
May 31, 2023 01:19Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Pakistan ameionya serikali ya wanamgambo wa Taliban wa Afghanistan kuhusiana na shambulio lolote dhidi ya ardhi ya Pakistan.
-
Mapigano yazuka kati ya askari wa mpakani wa Iran na wapiganaji wa Taliban
May 27, 2023 11:10Mapigano yamezuka kati ya Vikosi vya Walinzi wa Mpaka wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na vikosi vya Taliban kwenye mpaka wa Sistan na Baluchistan ya Iran na mkoa wa Nimroz wa Afghanistan, na katika maeneo mengine ya kandokando ya vijiji kadhaa ikiwa ni pamoja na Sasoli, Hatem na Makki.