• Maadhimisho ya Siku ya Ashura nchini Tanzania + Sauti

    Maadhimisho ya Siku ya Ashura nchini Tanzania + Sauti

    Sep 11, 2019 02:04

    Wakati Tanzania ikikaribia kufanya uchaguzi wa serikali za mitaa, viongozi wa dini mbalimbali wametakiwa kumuomba Mwenyezi Mungu ajaalie uchaguzi huo upite kwa salama na amani. Maelezo zaidi anayo mwandishi wetu wa Ammar Dachi...

  • Mahakama Tanzania yatupilia mbali ombi la Lissu la kupinga kuvuliwa ubunge; asema atadai haki yake Mahakama ya Rufaa

    Mahakama Tanzania yatupilia mbali ombi la Lissu la kupinga kuvuliwa ubunge; asema atadai haki yake Mahakama ya Rufaa

    Sep 09, 2019 12:12

    Mahakama Kuu ya Tanzania kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali maombi ya Mwanasheria Mkuu wa chama kikuu cha upinzani CHADEMA, Tundu Lissu ya kufungua shauri la kutengua uamuzi wa Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai uliosababisha kukoma kwa Ubunge wake Singida Mashariki.

  • Tanzania yaunga mkono juhudi za Afrika Kusini za kukomesha machafuko dhidi ya wageni + Sauti

    Tanzania yaunga mkono juhudi za Afrika Kusini za kukomesha machafuko dhidi ya wageni + Sauti

    Sep 05, 2019 11:31

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Profesa Palamaganda Kabudi, amesema kuwa serikali ya nchi hiyo ambayo hivi ni miongoni mwa nchi za SADC itakuwa bega kwa bega na serikali ya Afrika Kusini katika kuhakikisha machafuko yanayoendelea huko Afrika Kusini yanakomeshwa. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dr es Salaam...

  • Mwito wa namna ya kuuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu + Sauti

    Mwito wa namna ya kuuadhimisha mwaka mpya wa Kiislamu + Sauti

    Sep 02, 2019 05:10

    Waislamu nchini Tanzania wametakiwa kuukaribisha mwaka mpya wa Kiislamu kwa kukaa na kutathmini walichokifanya mwaka uliokwisha kwani kwisha kwa mwaka kuna maana ya kuzidi mwanadamu kuelekea kwenye siku yake ya kuondoka duniani. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam...

  • Watanzania waandamana mbele ya ubalozi wa A. Kusini, wataka ndege ya ATCL irejeshwe

    Watanzania waandamana mbele ya ubalozi wa A. Kusini, wataka ndege ya ATCL irejeshwe

    Aug 28, 2019 07:52

    Umati wa watu umeandamana leo nje ya ofisi za ubalozi wa Afrika Kusini jijini Dar es Salaam nchini Tanzania, wakishinikiza mahakama ya nchi hiyo iachie huru ndege ya Shirika la Ndege la Tanzania (ATCL) inayoshikiliwa nchini Afrika Kusini kufuatia kesi ya fidia inayomhusu mtu ajulikanaye kama Hermanus Steyn wa nchi hiyo na Serikali ya Tanzania.

  • Tanzania kuwatimua wakimbizi wa Burundi, UNHCR yapinga

    Tanzania kuwatimua wakimbizi wa Burundi, UNHCR yapinga

    Aug 28, 2019 03:37

    Serikali ya Tanzania imetangaza kuwa wakimbizi wote kutoka nchi jirani ya Burundi watarudishwa makwao kuanzi Oktoba lakini Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi, UNCHR limepinga hatua hiyo.

  • Sheikh Hemen Jalala alalamikia unyanyasaji wa Waislamu Tanzania + Sauti

    Sheikh Hemen Jalala alalamikia unyanyasaji wa Waislamu Tanzania + Sauti

    Aug 26, 2019 02:25

    Mkuu wa chuo cha kiislamu cha Imam Swadiq AS kilichopo jijini Dar es Salaam Tanzania, Sheikh Hemed Jalala amesema kuwa kitendo cha kuwatilia shaka Waislamu wa kwa sababu ya kwenda nchi za Iran, Iraq, Syria, Saudi Arabia na Lebanon, ni kuvunja uhuru wao wa ibada. Ammar Dachi na maelezo zaidi...

  • Magari yanayotumia gesi yaongezeka nchini Tanzania

    Magari yanayotumia gesi yaongezeka nchini Tanzania

    Aug 23, 2019 01:34

    Serikali ya Tanzania imebainisha kuwa matumizi ya gesi asilia katika magari yamezidi kukua nchini humo ambapo kwa sasa idadi ya magari hayo imefikia 210 kutoka 65 yaliyokuwa yakitumia nishati hiyo mwaka 2017. Mwandishi wetu Ammar Dachi ana maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam....

  • Magufuli ahitimisha mkutano wa viongozi wa SADC, Dar

    Magufuli ahitimisha mkutano wa viongozi wa SADC, Dar

    Aug 18, 2019 07:35

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) ambaye ni Rais wa Tanzania, John Magufuli leo amefunga Mkutano wa 39 wa Jumuiya hiyo katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam.

  • Mkutano wa SADC waanza Dar es Salaam

    Mkutano wa SADC waanza Dar es Salaam

    Aug 17, 2019 09:46

    Mkutano wa kilele wa nchi za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) umeanza leo mjini Dar es Salaam nchini Tanzania.