-
Tanzania yatangaza siku tatu za maombolezo, vifo vya ajali ya gari la mafuta Morogoro
Aug 11, 2019 09:32Rais wa Tanzania, John Magufuli amewatembelea majeruhi 43 wa ajali ya moto iliyotokea jana mkoani Morogoro waliolazwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) na kuwapatia kila mmoja Shilingi 500,000 kwa ajili ya matumizi.
-
Watu 62 wamepoteza maisha Tanzania katika ajali ya lori la mafuta; Rais Magufuli atuma salamu pole
Aug 10, 2019 03:45Watu 62 wameripotiwa kuaga dunia hadi sasa kufuatia ajali ya lori la mafuta katika eneo la Msamvu mjini Morogoro, Mashariki mwa Tanzania.
-
Benki ya Dunia yaitahadharisha serikali ya Tanzania kutokana na ongezeko la madeni
Jul 25, 2019 21:05Benki ya Dunia imeitahadharisha serikali ya Tanzania kuhusiana na ongezeko la deni la taifa inalodaiwa ndani na nje ya nchi.
-
Jeshi la polisi Tanzania lawapiga kalamu nyekundu askari wake 54, Magufuli aunga mkono
Jul 15, 2019 11:13Jeshi la polisi nchini Tanzania limewapiga kalamu nyekundu askari wake 54 kuanzia Januari hadi mwezi Juni mwaka huu kutokana na kwenda kinyume na maadili ya kazi yao ikiwamo kufanya vitendo vya uhalifu na kushirikiana na wahalifu.
-
Wajasiriamali "Muhajjaba" waandaliwa shindano la uvaaji bora wa Hijab + Sauti
Jul 15, 2019 00:06Wanawake wajasiriamali nchini Tanzania ambao wamedumisha vazi la Hijabu wameandaliwa shindano maalumu kwa wale wanaovaa vazi hilo tukufu hata wakiwa katika mishughuliko yao, lengo likiwa ni kuwapa motisha wale wasiovaa, wawezee kuvaa vazi hilo la heshima la Kiislamu. Ammar Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam
-
TI: Jitihada za Magufuli za kupambana na ufisadi Tanzania zinazaa matunda
Jul 14, 2019 02:58Utendakazi na jitihada za kupambana na ufisadi za Rais John Magufuli wa Tanzania zimeifanya nchi hiyo ya Afrika Mashariki ishike nafasi ya kwanza barani Afrika katika vita dhidi ya ufisadi.
-
Watanzania na Wakenya ni miongoni mwa 26 waliouawa katika shambulizi Somalia
Jul 13, 2019 08:14Idadi ya watu waliouawa katika shambulio la kigaidi dhidi ya hoteli moja kusini mwa Somalia imeongezeka na kufikia watu 26. Awali Polisi ya Kismayo iliripoti kuwa waliouawa katika hujuma hiyo ya kigaidi ni watu saba.
-
Chama Tawala Tanzania: Polisi wasitumie mabavu kukabiliana na wanasiasa, nao wapinzani wapongeza kauli hiyo
Jul 13, 2019 03:20Chama cha Mapinduzi nchini Tanzania, ambacho ni chama tawala (CCM), kimekemea vikali vitendo vya polisi wa nchi hiyo vya kutumia mabavu bila sababu za msingi katika kushughulikia migogoro ya kisiasa.
-
Waziri wa Maliasili na Utalii Tanzania: Wanaharakati wanaopinga mradi wa Stigler’s Gorge watabanwa mbavu
Jul 09, 2019 09:33Waziri wa Maliasili na Utalii wa Tanzamia, Dk Hamis Kigwangalla amesema kuwa, wanaharakati wanaopinga mradi wa kufua umeme wa nchi hiyo unaoitwa 'Stigler’s Gorge' watabanwa mbavu sambamba na kufanyiwa fujo hata kabla ya wao kufika kwa Rais John Pombe Magufuli wa nchi hiyo.
-
Maonyesho ya Sabasaba yaanza rasmi nchini Tanzania + Sauti
Jul 07, 2019 11:17Katika kuelekea Tanzania ya viwanda, Waziri wa Viwanda na Biashara wa nchi hiyo, Mheshimiwa Innocent Bashugwa amewataka Watanzania kuitumia Sabasaba kama sehemu ya kuwakutanisha wafanyabiashara na wenye viwanda wa Tanzania na wanaotoka nchi mbalimbali kwaajili ya kujikuza kibiashara na wasiifanye kuwa ni sehemu ya kuwapeleka watoto matembezini tu. AMARI DACHI na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam.