Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tanzania

  • WHO: Kesi 36 mpya za Ebola ziripotiwa DRC

    WHO: Kesi 36 mpya za Ebola ziripotiwa DRC

    Nov 30, 2018 01:03

    Hatari wa kuenea ugonjwa habari wa Ebola imeongezeka huko Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo na katika nchi zinazopakana nayo baada ya kesi nyingine 36 kugunduliwa karibu na mpaka wa nchi hiyo katika wiki iliyomalizikia kwenye Novemba 29.

  • Magufuli: Wapinzani watulie la sivyo wataishia gerezani

    Magufuli: Wapinzani watulie la sivyo wataishia gerezani

    Nov 27, 2018 11:40

    Rais John Magufuli wa Tanzania amempa ujumbe Waziri Mkuu wa zamani wa nchi hiyo Edward Lowasa awaambie viongozi wengine wa vyama vya upinzani kwamba watulie “la sivyo wataishia magerezani”.

  • ACT-Wazalendo yalaani uonevu kwa wavuvi Tanzania, naye Sheikh Ponda alilia katiba mpya

    ACT-Wazalendo yalaani uonevu kwa wavuvi Tanzania, naye Sheikh Ponda alilia katiba mpya

    Nov 25, 2018 13:39

    Chama cha ACT- Wazalendo nchini Tanzania, kimelaani vikali vitendo vya ukiukwaji wa sheria na haki za binadamu vinavyofanywa dhidi ya wavuvi katika operesheni mbalimbali zinazotekelezwa nchini chini ya usimamizi wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi.

  • Mbowe na Mbunge Ester Matiko wapelekwa mahabusu kwa muda usiojulikana nchini Tanzania

    Mbowe na Mbunge Ester Matiko wapelekwa mahabusu kwa muda usiojulikana nchini Tanzania

    Nov 23, 2018 11:44

    Mahakama Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam, Tanzania, imewafutia dhamana Mwenyekiti wa chama cha Chadema, Freeman Mbowe na Mbunge wa Bunda Mjini, Ester Matiko kwa madai ya ukiukaji wa masharti ya dhamana, na kuanzia sasa watakuwa rumande hadi hapo kesi yao itakapomalizika.

  • Lema: Ni kosa kubwa kwa Benki Kuu ya Tanzania kuwatumia wanajeshi katika masuala ya kiraia

    Lema: Ni kosa kubwa kwa Benki Kuu ya Tanzania kuwatumia wanajeshi katika masuala ya kiraia

    Nov 21, 2018 12:35

    Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema, ambaye pia ni Waziri Kivuli wa Mambo ya Ndani nchini Tanzania, ametupilia mbali hoja za Gavana wa Benki Kuu ya nchi hiyo, Profesa Florens Luoga kwamba, waliwatumia askari wa jeshi la wananchi (JWTZ) katika operesheni ya kulinda usalama wa maduka ya kubadilisha fedha, kwa kuwa kulikuwa na uhaba wa polisi.

  • Mufti wa Tanzania: Masheikh wa mikoa yote nchini endeleeni kukemea vitendo vya ushoga

    Mufti wa Tanzania: Masheikh wa mikoa yote nchini endeleeni kukemea vitendo vya ushoga

    Nov 20, 2018 12:04

    Mufti wa Tanzania Sheikh Abubakar Zuberi, amewataka masheikh na viongozi wa dini ya Kiislamu nchini humo kukemea vitendo vya ushoga.

  • Kenya yawakamata wavuvi 16 wa Tanzania kwa kuingia katika maji yake

    Kenya yawakamata wavuvi 16 wa Tanzania kwa kuingia katika maji yake

    Nov 19, 2018 00:46

    Polisi ya Kenya imewatia nguvuni wavuvi 16 raia wa Tanzania, kwa kuingia katika ardhi yake na kuvua samaki kinyume cha sheria.

  • Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti

    Waislamu wahimizwa kusherehekea kwa amani na mapenzi Maulidi ya Mtume + Sauti

    Nov 16, 2018 03:20

    Mkurugenzi wa Kitengo cha Utamaduni cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Tanzania Bw. Ali Bagheri amesema kuwa, maadhimisho ya Maulidi na kuzaliwa Mtume Muhammad SAW kunaleta mapenzi kwa Waislamu wote, hivyo waitumie fursa hiyo kuimarisha udugu wao. Amari Dachi na maelezo zaidi kutoka Dar es Salaam

  • Tanzania yazidi kubanwa, Denmark na Benki ya Dunia zaifutia ruzuku, mikopo

    Tanzania yazidi kubanwa, Denmark na Benki ya Dunia zaifutia ruzuku, mikopo

    Nov 15, 2018 11:56

    Serikali ya Denmark imefuta mpango wake wa kuipa Tanzania msaada wa dola milioni 10 za Marekani, kulalamikia kile ilichotaja kama rekodi mbaya ya ukiukaji wa haki za binadamu nchini humo, na matamshi 'yasiyokubalika' dhidi ya mashoga.

  • Mufti wa Tanzania awahimiza Waislamu kujifunza sayansi + Sauti

    Mufti wa Tanzania awahimiza Waislamu kujifunza sayansi + Sauti

    Nov 11, 2018 14:03

    Mufti wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi bin Ali amewataka Waislamu wa Tanzania kujiendeleza na kujitanua katika nyanja mbalimbali za kielimu hasa katika sekta ya sayansi na teknologia ili kuiendeleza dini ya Kiislamu kwa njia bora zaidi. Ammari Dachi na taarifa zaidi kutoka Dar es Salaam...

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS