Bakwata yaadhimisha miaka 50 ya kuasisiwa kwake+SAUTI
https://parstoday.ir/sw/news/africa-i50256-bakwata_yaadhimisha_miaka_50_ya_kuasisiwa_kwake_sauti
Huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA likitimiza miaka 50 tangu kuasisiwa kwake, MUFTI Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar bin Zubeir amewataka waalimu wa elimu ya dini kujifunza elimu zinazoendana na mazingira yao, ikiwemo sayansi na teknolojia.
(last modified 2023-11-27T08:44:11+00:00 )
Dec 18, 2018 13:10 UTC

Huku Baraza Kuu la Waislamu Tanzania BAKWATA likitimiza miaka 50 tangu kuasisiwa kwake, MUFTI Mkuu wa Tanzania Sheikh Abubakar bin Zubeir amewataka waalimu wa elimu ya dini kujifunza elimu zinazoendana na mazingira yao, ikiwemo sayansi na teknolojia.

Hii ni katika hali ambayo baraza hilo halijaanzisha shule yeyote ya elimu ya dini na wakati huohuo inamiliki shule mbalimbali za sekiula.
Mwandishi wetu wa Dar es Salaa, AMMAR DACHI na maelezo zaidi....