-
Spika wa zamani wa Tanzania afariki dunia, Rais Magufuli atoa mkono wa pole
Nov 07, 2016 04:33Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania ametoa mkono wa rambirambi kufuatia kifo cha spika wa zamani wa bunge la nchi hiyo, Samuel Sitta aliyefariki dunia usiku wa kuamkia leo nchini Ujerumaini alikokuwa anapatiwa matibabu.
-
SAUTI: Mgogoro wa kisiasa Zanzibar umewafanya Watanzania kuwa na kauli tofauti baada ya kikao cha Rais Magufuli TZ na waandishi wa habari Ijumaa hii
Nov 05, 2016 13:27Baada ya Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania kuzungumza na waandishi wa habari Ijumaa hii katika hafla ya kutathmini uongozi wake wa mwaka mmoja tangu achaguliwe kuwa rais, kumekuwepo na kauli tofauti baina ya Watanzania juu ya nukta alizoziashiria rais huyo.
-
Tanzania yaitaka mahakama ya ICC kukutana na nchi wanachama wa Mkataba wa Roma
Nov 02, 2016 04:38Wakati nchi kadhaa za Afrika zikionesha dalili za kutaka kujiengua kutoka Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), Tanzania imeishauri mahakama hiyo kukaa meza moja na nchi wanachama wa Mkataba wa Roma, hasa za Afrika ili kutafuta suluhu ya changamoto na tofauti zilizopo kati ya mahakama hiyo na wanachama wake.
-
Tanzania na Kenya zakubaliana kujenga barabara mbili unganishi
Nov 01, 2016 04:27Tanzania na Kenya zimekubaliana kuanza kwa wakati ujenzi wa barabara mbili unganishi ambazo zitaboresha usafirishaji wa bidhaa na safari za raia kati ya nchi mbili hizo.
-
Rais Magufuli: Kenya, mshirika nambari moja wa Tanzania kibiashara barani Afrika
Oct 31, 2016 11:43Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amekanusha madai kuwa serikali yake inazipuuza nchi jirani na kujikita zaidi katika masuala ya ndani.
-
Sisitizo la Tanzania la kupambana na biashara haramu mashariki mwa Afrika
Oct 31, 2016 09:59Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania amesisitiza kupambana na biashara haramu katika eneo la mashariki mwa Afrika.
-
SAUTI: Hali ya Tanzania baada ya mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani
Oct 27, 2016 11:53Radio Tehran imezungumza na baadhi ya Watanzania kuhusu mwaka mmoja wa Rais Magufuli madarakani, huku changamoto kubwa ya serikali yake ikiwa ni ugumu wa maisha kwa Watanzania.
-
Tanzania na Morocco zasaini mikataba ya ushirikiano katika maeneo zaidi ya 20
Oct 26, 2016 01:10Tanzania na Morocco zimesaini mikataba ya kushirikiana katika nyanja zaidi ya 20.
-
Bakwata: Watanzania kunufaika na bidhaa zenye nembo "Halal"
Oct 25, 2016 04:40Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata) limesema kila Mtanzania karibuni hivi atanufaika na bidhaa zenye nembo ya Halal, ambapo wapo mbioni kuijumuisha nchi hiyo ya Afrika Mashariki kwenye orodha ya nchi 33 ambazo zinatumia bidhaa halali za vyakula na vinywaji.
-
Morocco yaelekea Afrika Mashariki kutafuta uungaji mkono AU
Oct 20, 2016 10:04Mfalme Mohammed wa VI wa Morocco ameanza ziara ya nchi tatu za Afrika Mashariki katika juhudi za kutafuta uungaji mkono wa kurejea nchi hiyo kuwa mwananchama wa Umoja wa Afrika, baada ya kujiondoa kwenye umoja huo zaidi ya miongo mitatu iliyopita.