Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tehran

  • Wanachuo waandamana Tehran kuunga mkono Waislamu wa Myanmar

    Wanachuo waandamana Tehran kuunga mkono Waislamu wa Myanmar

    Sep 11, 2017 03:18

    Wanafunzi mbalimbali wa vyuo vikuu nchini Iran wamefanya maandamano mbele ya ofisi ya Umoja wa Mataifa mjini Tehran na kuzitaka nchi za Kiislamu na jamii ya kimataifa hasa hasa Umoja wa Mataifa kutoendelea kunyamazia kimya mauaji ya kimbari wanayofanyiwa Waislamu wa Myanmar.

  • Spika wa Bunge la Afrika Kusini awasili Iran

    Spika wa Bunge la Afrika Kusini awasili Iran

    Sep 01, 2017 15:17

    Spika wa Bunge la Afrika Kusini amewasili Tehran kwa ajili ya kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Jaberi Ansari akutana na mwakilishi wa Katibu Mkuu wa UN katika masuala ya Yemen

    Jaberi Ansari akutana na mwakilishi wa Katibu Mkuu wa UN katika masuala ya Yemen

    Aug 12, 2017 13:19

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayeshughulikia masuala ya nchi za Kiarabu na Kiafrika ametakana na kufanya mazungumzo hapa mjini Tehran na mjumbe maalumu wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen.

  • Viongozi wa nchi mbalimbali wawasili Tehran kwa ajili ya sherehe ya kuapishwa Rouhani

    Viongozi wa nchi mbalimbali wawasili Tehran kwa ajili ya sherehe ya kuapishwa Rouhani

    Aug 04, 2017 04:49

    Viongozi na wawakilishi wa nchi mbalimbali duniani wanaendelea kuwasili nchini Iran kwa ajili ya kushiriki katika sherehe ya kuapishwa Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Jumamosi ya kesho.

  • Balozi wa Palestina Tehran: Mapambano ya kuuangamiza utawala wa Kizayuni wa Israel yanaendelea

    Balozi wa Palestina Tehran: Mapambano ya kuuangamiza utawala wa Kizayuni wa Israel yanaendelea

    Jul 26, 2017 13:44

    Balozi wa Palestina mjini Tehran amesema kuwa, mapambano dhidi ya utawala ghasibu wa Israel yataendelea hadi pale utawala huo haramu utakapoangamizwa na kufutwa katika ramani ya dunia.

  • Marekani yaunga mkono waziwazi ISIS; Mbunge wa Congress asema: Mashambulizi ya kigaidi ya Tehran ni kwa manufaa ya Marekani

    Marekani yaunga mkono waziwazi ISIS; Mbunge wa Congress asema: Mashambulizi ya kigaidi ya Tehran ni kwa manufaa ya Marekani

    Jun 10, 2017 15:58

    Mbunge wa jimbo la California katika Baraza la Congress la Marekani ametoa matamshi ya kijuba na kuunga mkono waziwazi mashambulizi ya kigaidi yaliyofanywa na genge la wakufurishaji la Daesh mjini Tehran, Iran, Jumatano asubuhi.

  • Viongozi wa kidini: Taifa la Iran litazishinda njama za maadui dhidi yake

    Viongozi wa kidini: Taifa la Iran litazishinda njama za maadui dhidi yake

    Jun 10, 2017 07:54

    Viongozi wawili wa kidini nchini Iran wenye makao yao mjini Qum wamesisitiza katika taarifa zao walizozitoa kwa nyakati tofauti kwamba, taifa la Iran litazishinda njama za maadui dhidi yake.

  • Mbunge Marekani: Hujuma za kigaidi Tehran ni stratejia ya Trump

    Mbunge Marekani: Hujuma za kigaidi Tehran ni stratejia ya Trump

    Jun 10, 2017 03:35

    Mbunge katika chama tawala cha Republican nchini Marekani amesema hujuma za hivi karibuni za kundi la kigaidi la ISIS mjini Tehran inaweza kuwa stratijia ya Rais Donald Trump.

  • Mohammadi-Golpayegani: Maadui hawawezi kulikatisha tamaa taifa la Iran kwa kufanya mauaji

    Mohammadi-Golpayegani: Maadui hawawezi kulikatisha tamaa taifa la Iran kwa kufanya mauaji

    Jun 09, 2017 15:25

    Mkuu wa ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, hatua ya maadui ya kufanya mauaji katu haiwezi kulikatisha tamaa taifa la Iran.

  • Wairan wawaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi ya Tehran

    Wairan wawaaga mashahidi wa mashambulizi ya kigaidi ya Tehran

    Jun 09, 2017 08:21

    Shughuli ya kuwaaga mashahidi wa mashambulizi ya juzi hapa Tehran imefanyika kwa kuhudhuriwa na viongozi wa ngazi ya juu pamoja na familia za mashahidi hao katika ukumbi wa Aftab wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran yaani Bunge.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS