Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Wanaharakati wa nchi 5 za kaskazini mwa Afrika: Kuna udharura wa kukabiliana na mwenendo wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Wanaharakati wa nchi 5 za kaskazini mwa Afrika: Kuna udharura wa kukabiliana na mwenendo wa kuanzisha uhusiano na Israel

    Jul 25, 2021 22:09

    Wanaharakati kutoka nchi tano za kaskazini mwa Afrika ambazo ni Algeria, Tunisia, Morocco, Libya na Mauritania wamesisitiza udharura wa kukabiliana na hatua ya baadhi ya nchi ya kuanzisha uhusiano rasmi wa na utawala ghasibu wa Israel.

  • Wahajiri 17 wapoteza maisha katika fukwe za Tunisia

    Wahajiri 17 wapoteza maisha katika fukwe za Tunisia

    Jul 22, 2021 03:26

    Shirika la Hilal Nyekundu la Tunisia limetangaza kuwa, wahajiri 17 wamekufa maji katika fukwe za nchi hiyo baada ya mtumbwi waliokuwa wakisafiria kupinduka baharini.

  • Tunisia yakadhibisha kushiriki maneva ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika Bahari Nyeusi

    Tunisia yakadhibisha kushiriki maneva ya Marekani na utawala wa Kizayuni katika Bahari Nyeusi

    Jun 24, 2021 02:52

    Msemaji rasmi wa Wizara ya Ulinzi ya Tunisia amekadhibisha uvumi ulioenea katika vyombo vya habari kwamba nchi hiyo itashiriki katika maneva ya kijeshi na Marekani na utawala ghasibu wa Kizayuni katika Bahari Nyeusi.

  • Mahakama Tunisia yaagiza kuachiwa huru kiongozi wa upinzani

    Mahakama Tunisia yaagiza kuachiwa huru kiongozi wa upinzani

    Jun 16, 2021 03:37

    Vyombo vya mahakama nchini Tunisia vimeagiza kuachiwa huru kiongozi wa upinzani, Nabil Karoui, miezi sita baada ya kutiwa nguvuni kwa tuhuma za ufisadi na kukwepa kodi. 

  • Maandamano dhidi ya ukandamizaji wa polisi yaendelea huko Tunis, Tunisia

    Maandamano dhidi ya ukandamizaji wa polisi yaendelea huko Tunis, Tunisia

    Jun 15, 2021 22:39

    Maandamano ya usiku ambayo yamekuwa yakifanywa kwa siku kadhaa sasa na wakazi wa mji mji mkuu wa Tunisia, Tunis yameripotiwa kushika kasi. Maandamano hayo yameshuhukiwa katika vitongoji viwili huko Tunis.

  • Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya akutana na Rais wa Tunisia

    Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya akutana na Rais wa Tunisia

    May 31, 2021 02:53

    Mkuu wa Baraza la Uongozi la Libya amehimiza kurahishishwa mawailiano na sekta ya uchukuzi baina ya nchi yake na Tunisia.

  • EU yajipanga kutoa misaada kwa Libya na Tunisia ili kuzuia wahajiri wasielekee Ulaya

    EU yajipanga kutoa misaada kwa Libya na Tunisia ili kuzuia wahajiri wasielekee Ulaya

    May 20, 2021 23:07

    Kamishna wa Mambo ya Ndani katika Umoja wa Ulaya (EU) Ylva Johansson, amesema umoja huo unashauriana na Tunisia na Libya ili kufikia mapatano yatakayowezesha kuzuia wahajiri wasielekee barani ya Ulaya.

  • Rais wa Ufaransa na viongozi kadhaa wa Afrika wahudhuria mazishi ya Rais Deby wa Chad

    Rais wa Ufaransa na viongozi kadhaa wa Afrika wahudhuria mazishi ya Rais Deby wa Chad

    Apr 23, 2021 22:50

    Mazishi ya rais Idriss Deby wa Chad yalifanyika jana Ijumaa katika mji mkuu wa nchi hiyo N'Djamena, ambapo maelfu ya watu walitoa heshima zao wa mwisho wa kiongozi huyo aliyefariki kutokana na majeraha aliyopata katika mstari wa mbele wa vita wakati akiongoza jeshi lake kukabiliana na shambulio la waasi.

  • Watu wasiopungua 21 wafariki baharini baada ya boti kuzama katika pwani ya Tunisia

    Watu wasiopungua 21 wafariki baharini baada ya boti kuzama katika pwani ya Tunisia

    Apr 16, 2021 22:13

    Watu wasiopungua 21 wamefariki dunia baada ya boti waliyokuwa wameabiri kuzama katika pwani ya Tunisia wakati wakijaribu kuvuka maji ya bahari ya Mediterania ili kufika kwenye kisiwa cha Lampedusa nchini Italia.

  • Rais wa Tunisia apinga kufanyiwa marekebisho Mahakama ya Katiba

    Rais wa Tunisia apinga kufanyiwa marekebisho Mahakama ya Katiba

    Apr 04, 2021 23:58

    Rais wa Tunisia amemtumia ujumbe Spika wa Bunge la nchi hiyo akipinga kufanyiwa marekebisho Mahakama ya Katiba ya nchi hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS