-
Chama cha al Nahdha Tunisia kuangalia upya msimamo wake kuhusu serikali ya Rais Kais Saied
Jul 06, 2020 03:26Chama cha al Nahdha chenye mielekeo ya Kiislamu nchini Tunisia kimesema kuwa, kinafikiria kuangalia upya msimamo wake kuhusu serikali ya muungano wa vyama kadhaa ya nchi hiyo kutokana na masuala yanayomuhusisha Waziri Mkuu wa nchi hiyo, Elyes Fakhfakh.
-
Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya
Jun 23, 2020 03:04Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa uingiliaji kijeshi wa Ufaransa nchini Libya ni mchezo hatari.
-
Idadi ya walioaga dunia katika ajali ya boti Tunisia yaongezeka
Jun 12, 2020 23:47Idadi ya wahajiri waliopoteza maisha katika ajali ya boti iliyotokea hivi karibuni katika mji wa pwani wa Sfax nchini Tunisia imeongezeka na kufikia watu 54.
-
Tunisia kufungua mipaka yake mwezi mmoja ujao baada ya corona
Jun 02, 2020 06:56Viongozi wa Tunisia wamefikia uamuzi wa kufungua mipaka yao ili kuokoa sekta ya utalii. Mipaka ya ardhini, angani na majini ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika inatarajiwa kufunguliwa mwezi mmoja ujao.
-
Tunisia yarefusha muda wa hali ya hatari kwa miezi sita zaidi
May 30, 2020 07:33Ofisi ya Rais wa Tunisia imetoa tangazo maalumu la kurefusha hali ya hatari ya nchi nzima kwa muda wa miezi sita mingine.
-
Chama cha al Ghad Tunisia: Kambi ya muqawama ishirikiane vilivyo kukabiliana na Wazayuni
May 22, 2020 22:07Katibu Mkuu wa chama cha al Ghad cha Tunisia amesisitiza kuwa, ni jambo la dharura sana kuimarishwa kambi ya muqawama kadiri inavyowezekana katika kukabiliana na Wazayuni maghasibu.
-
Chama cha Republican cha Tunisia: Umoja na muqawama, njia pekee ya kuikomboa Palestina
May 22, 2020 03:37Katibu Mkuu wa chama cha Republican cha Tunisia amesema utawala ghasibu wa Israel hauelewi lugha nyingine isipokuwa ya mapambano na kusisitiza kuwa, "umoja na muqawama ndiyo njia pekee ya kuikomboa Palestina."
-
Tunisia yaisaidia Uturuki kufikisha misaada Libya
May 08, 2020 19:30Serikali ya Tunisia imeiruhusu ndege ya Uturuki ambayo inasemekana ilikuwa na misaada ya kitiba kwa ajili ya Libyan itue nchini humo.
-
Umoja wa Mataifa watakiwa uunge mkono usitishaji vita katika maeneo ya mapigano
May 06, 2020 20:09Nchi za Tunisia na Ufaransa zimelitaka Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kuunga mkono na kuafiki azimio la kusimamisha vita haraka katika maeneo ya mapigano duniani kama sehemu ya vita dhidi ya ugonjwa wa COVID-19.
-
Vyama vya Siasa Tunisia vyalaani hatua ya Ujerumani dhidi ya Hizbullah
May 06, 2020 03:25Vyama vitano vya kisiasa nchini Tunisia vimelaani vikali hatua ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Ujerumani ya kuiorodhesha Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kama kundi la kigaidi.