Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Tunisia - Tunis

  • Rais Kais Saied: Tunisia haitakuwa mlinzi wa mipaka ya Ulaya

    Rais Kais Saied: Tunisia haitakuwa mlinzi wa mipaka ya Ulaya

    Jun 12, 2023 04:40

    Rais Kais Saied wa Tunisia amesema nchi hiyo haitakubali kufanywa gadi ya mpaka ya nchi za Ulaya, wakati huu ambapo safari za wahamiaji haramu kwenda Ulaya kupitia Bahari ya Mediterania zimeongezeka.

  • Chama cha Ennahda chaweka masharti kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa Tunisia

    Chama cha Ennahda chaweka masharti kwa ajili ya mazungumzo na Rais wa Tunisia

    Jun 04, 2023 05:39

    Chama chenye mielekeo ya Kiislamu cha Ennahda nchini Tunisia kimetangaza masharti kadhaa kwa ajili ya kufungua ukurasa mpya katika uhusiano wake na rais wa nchi hiyo.

  • HRW: Serikali ya Tunisia imedhamiria kukivunja chama cha Kiislamu cha Al-Nahdhah

    HRW: Serikali ya Tunisia imedhamiria kukivunja chama cha Kiislamu cha Al-Nahdhah

    May 13, 2023 02:44

    Shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch limefichua njama zinazopangwa na viongozi wa serikali ya Tunisia za kulivunja na kulisambaratisha kikamilifu Vuguvugu la Kiislamu la An-Nahdhah, ambacho ndicho chama kikubwa zaidi cha siasa nchini humo.

  • Mauaji na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake vimeongezeka nchini Tunisia

    Mauaji na vitendo vya ukatili dhidi ya wanawake vimeongezeka nchini Tunisia

    May 02, 2023 01:29

    Wanawake wa Tunisia wanakabiliwa na hali mbaya ya ongezeko la ukatili na mauaji dhidi yao yanayofanywa na waume zao au na ndugu wa familia zao.

  • Watunisia watangaza mshikamano na waliowekwa kizuizini kwa sababu za kisiasa

    Watunisia watangaza mshikamano na waliowekwa kizuizini kwa sababu za kisiasa

    May 01, 2023 01:49

    Vuguvugu la Uokovu wa Taifa la Tunisia limefanya mkusanyiko kwenye barabara ya Habib Bourguiba mjini Tunis kutangaza mshikamano na viongozi na wanaharakati waliowekwa kizuizini kwa sababu za kisiasa.

  • Kutiwa nguvuni Rached Ghannouchi kiongozi wa Chama cha Kiislamu cha Ennahdha cha Tunisia

    Kutiwa nguvuni Rached Ghannouchi kiongozi wa Chama cha Kiislamu cha Ennahdha cha Tunisia

    Apr 19, 2023 11:23

    Chama cha Kiislamu cha Ennahdha nchini Tunisia Jumatatu wiki hii kilitangaza kuwa askari usalama wamemtia mbaroni Rached Ghannouchi mkuu wa chama hicho baada ya kuivamia nyumba yake katika mji mkuu wa nchi hiyo, Tunis.

  • Tunisia yafunga ofisi za chama cha Ennahdha baada ya kumtia mbaroni kiongozi wake

    Tunisia yafunga ofisi za chama cha Ennahdha baada ya kumtia mbaroni kiongozi wake

    Apr 19, 2023 01:29

    Mamlaka husika nchini Tunisia jana Jumanne zilizifunga ofisi zote za chama cha upinzani chenye mwelekeo wa Kiislamu cha Ennahdha siku moja baada ya kumkamata kiongozi wa chama hicho, Rached Ghannouchi. Hayo yameelezwa na afisa wa ngazi ya juu wa chama hicho kikuu cha upinzani.

  • Muungano wa Kitaifa wa Uokovu wa Tunisia wataka kuachwa huru wafungwa wa kisiasa

    Muungano wa Kitaifa wa Uokovu wa Tunisia wataka kuachwa huru wafungwa wa kisiasa

    Apr 15, 2023 06:55

    Muungano wa Kitaifa wa Uokovu wa Tunisia umetoa wito wa kuachwa huru wafungwa wa kisiasa katika maandamano ya kupinga utawala wa rais wa nchi hii, Kais Saied.

  • Azma ya Tunisia ya kujiunga na Jumuiya Ushirikiano ya Shanghai (SCO)

    Azma ya Tunisia ya kujiunga na Jumuiya Ushirikiano ya Shanghai (SCO)

    Apr 09, 2023 08:00

    Msemaji wa chama cha Harakati ya Julai 25 chenye mfungamano na Rais wa Tunisia amesema kuwa nchi hiyo inajipanga kujiunga na Jumuiya ya Ushirikiano ya Shanghai (SCO).

  • Kuongezwa kiwango cha uhusiano wa Tunisia na Syria; kutoka uwakilishi hadi balozi kamili

    Kuongezwa kiwango cha uhusiano wa Tunisia na Syria; kutoka uwakilishi hadi balozi kamili

    Apr 07, 2023 02:20

    Syria imepongeza uamuzi wa Rais Kais Saied wa Tunisia wa kuongeza kiwango cha uhusiano na ushirikiano wa kidiplomasia katika ubalozi wa nchi hiyo mjini Damascus Syria.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS