-
Afrika Kusini yaandaa mkutano wa kimataifa dhidi ya ubaguzi wa rangi wa Israel
May 10, 2024 10:55Mkutano wa Kimataifa dhidi ya Ubaguzi wa Rangi wa Israel huko Palestina ulitazamiwa kuanza leo Ijumaa katika Jiji la Johannesburg nchini Afrika Kusini na utaendelea na kazi zake hadi tarehe 12 Mei mwaka huu.
-
Afrika Kusini yataka Israel itambulishwe kama "utawala wa kibaguzi"
Nov 25, 2023 04:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Afrika Kusini ametangaza kwamba nchi hiyo inaendeleza juhudi katika mashirika na jumuiya za kimataifa za kuutambulisha utawala wa Kizayuni wa Israel kuwa ni "utawala wa kibaguzi".
-
40% ya wanaume Waislamu Ujerumani wanakabiliwa na ubaguzi
Nov 08, 2023 06:09Utafiti mpya umefichua kuwa, asilimia 40 ya wanaume Waislamu nchini Ujerumani wanakabiliwa na vitendo vya ubaguzi katika maisha yao ya kila siku, huku hujuma na mashambulio ya kibaguzi dhidi ya Waislamu yakiripotiwa kukithiri katika nchi hiyo ya bara Ulaya.
-
Ushuhuda kwa Al Jazeera: Sweden imekuwa nchi ya chuki na ubaguzi dhidi ya wageni na Waislamu
Sep 05, 2023 07:45Sweden ambayo imekuwa ikijulikana kama mfano wa ustahamilivu tangu miaka ya 1970, imebadilika sana katika miongo michache iliyopita na kuwa nchi ya ubaguzi wa rangi, kuongezeka kwa vitendo vya chuki dhidi ya wageni na wahamiaji, na kushamiri harakati zenye misimamo mikali za mrengo wa kulia.
-
Wamarekani weusi, wahanga wa kwanza wa ubaguzi katika ajira
Jul 21, 2023 02:35Takwimu za hivi karibuni nchini Marekani zinaonyesha kuwa, watu weusi wanaunda asilimia 90 ya wafanyakazi walioachishwa kazi mwaka huu kutokana na kuongezeka kwa hofu ya mdororo wa kiuchumi na sera ya makampuni mengi ya kupunguza wafanyakazi.
-
Ubaguzi wa rangi; Mgogoro mkubwa barani Ulaya
Jul 03, 2023 08:14Kuendelea na kushadidi sera za ubaguzi umekuwa mgogoro mkubwa wa kisiasa na kijamii barani Ulaya, kiasi kwamba katika miezi ya hivi karibuni raia wengi wa Ulaya wametoa wito wa kukomeshwa sera hizo kwa kufanya mikutano na maandamano.
-
Mwaka wa tatu wa mauaji ya George Floyd; kuendelea ubaguzi wa rangi dhidi ya Wamarekani wenye asili ya Afrika
May 28, 2023 10:49Ikiwa umetimia mwaka wa tatu tangu kuuawa kikatili George Floyd, Mmarekani mwenye asili ya Afrika, yaliyofanywa na polisi mbaguzi mzungu anayeitwa Derek Chauvin katika mji wa Minneapolis, Minnesota, suala la ubaguzi wa rangi na ukatili wa polisi nchini Marekani dhidi ya watu weusi au wenye asili ya Afrika bado ni miongoni mwa matatizo makubwa katika nchi hiyo.
-
Waandamanaji Israel waapa, maandamano yataendelea hadi ‘mageuzi ya mahakama’ yatakapofutiliwa mbali
Mar 29, 2023 02:10Kiongozi wa waandamanaji dhidi ya serikali ya utawala haramu wa Israel ameapa kuwa maandamano yataendelea katika maeneo yote yanayokaliwa kwa mabavu licha ya waziri mkuu wa utawala huo, Benjamin Netanyahu, kutangaza kuwa mpango tata wa marekebisho ya mahakama ya utawala huo umeakhirishwa hadi mwezi ujao.
-
Aliachwa akihangaika na kifo peke yake; Hasira zatanda Ufaransa baada ya kifo cha mwanafunzi mwenye asili ya Kiarabu
Mar 25, 2023 02:20Mitandao ya kijamii nchini Ufaransa imeshuhudia wimbi kubwa la hasira na ghadhabu baada ya kifo cha mwanafunzi mwenye asili ya Kiarabu ambaye alipatwa na mshtuko wa moyo, huku kukiwa na shutuma kwamba uongozi wa shule ulimwacha akikabilina na kifo peke yake bila ya kumpa huduma ya dharura.
-
Ubaguzi washadidisha mgogoro wa 'afya ya umma' Marekani
Jan 10, 2023 07:52Miji na kaunti zaidi ya 200 nchini Marekani zimeutangaza ubaguzi wa rangi nchini humo kama mgogoro wa afya ya umma. Wataalamu wa afya wameonya kuwa, ubaguzi wa kimfumo wa miongo kadhaa umeendelea kuathiri afya za Wamarekani wasio wazungu.