Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uchaguzi wa Rais

  • Mahakama ya Juu Guinea-Bissau yaitaka tume ya uchaguzi ifafanue hesabu za kura za uchaguzi wa rais

    Mahakama ya Juu Guinea-Bissau yaitaka tume ya uchaguzi ifafanue hesabu za kura za uchaguzi wa rais

    Jan 18, 2020 11:10

    Matokeo ya uchaguzi wa rais wa Guinea-Bissau yameingia mashakani baada ya Mahakama ya Juu Kabisa ya nchi hiyo kutoa mwito kwa tume ya uchaguzi kutoa ufafanuzi wa hesabu za kura za uchaguzi huo. Wito huo umetolewa saa kadhaa tu baada ya tume hiyo kutangaza matokeo rasmi.

  • Wamarekani wenye asili ya Afrika wanapinga vikali kuendelea urais wa Trump

    Wamarekani wenye asili ya Afrika wanapinga vikali kuendelea urais wa Trump

    Dec 31, 2019 09:39

    Uchunguzi wa maoni umebaini kuwa, idadi kubwa ya Wamarekani weusi, yaani Wamarekani wenye asilia ya Afrika wanatekeleza mikakati maalumu ya kuhakikisha kuwa Donald Trump hachaguliwi tena kuwa rais wa nchi hiyo.

  • Mustakbali wa Algeria baada ya kuapishwa rais mpya

    Mustakbali wa Algeria baada ya kuapishwa rais mpya

    Dec 21, 2019 04:01

    Baada ya kupita miezi mingi ya mgogoro wa kisiasa na maandamano ya wananchi, hatimaye uchaguzi wa rais umefanyika nchini Algeria na Abdelmadjid Tebboune amechaguliwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha miaka mitano ijayo.

  • Kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa rais Algeria katika kivuli cha maandamano ya upinzani

    Kutangazwa matokeo ya uchaguzi wa rais Algeria katika kivuli cha maandamano ya upinzani

    Dec 14, 2019 07:37

    Uchaguzi wa Rais Algeria umefanyika katika anga iliyogubikwa na ukosefu wa amani na usalama. Ripoti zinasema nusu ya watu waliotimiza masharti ya kupiga kura ndio walioshiriki kwenye zoezi hilo.

  • Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais Algeria, Abdelmadjid Tebboune anaongoza

    Matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais Algeria, Abdelmadjid Tebboune anaongoza

    Dec 13, 2019 08:31

    Matokeo ya awali ya uchagauzi wa rais nchini Algeria yanaonesha kuwa waziri mkuu wa zamani wa nchi hiyo Abdelmadjid Tebboune anaongoza baada ya kuwapiku wagombea wenzake wanne.

  • Rais wa Ivory Coast: Nitagombea tena urais kwa muhula wa tatu ikiwa marais wa zamani pia watawania

    Rais wa Ivory Coast: Nitagombea tena urais kwa muhula wa tatu ikiwa marais wa zamani pia watawania

    Dec 01, 2019 09:31

    Rais Alassane Ouattara wa Ivory Coast amesema, atawania tena urais kwa muhula wa tatu mfululizo endapo watangulizi wake pia wataamua kujitosa kwenye kinyang'anyiro cha uchaguzi huo utakaofanyika mwakani, na ambao unatajwa kama kipimo muhimu cha kutathmini uthabiti wa nchi hiyo baada ya kukumbwa na vita vya ndani mara mbili katika karne hii ya 21.

  • Rais Buhari: Nitaachia ngazi muhula wangu wa uongozi ukimalizika

    Rais Buhari: Nitaachia ngazi muhula wangu wa uongozi ukimalizika

    Nov 26, 2019 00:45

    Rais Muhamadu Buhari wa Nigeria ametoa hakikisho kwamba, ataachia ngazi mara tu muhula wake wa uongozi utakapomalizika na kwamba, hana mpango wa kubakia madarakani kwa njia yoyote ile.

  • Uchaguzi wa rais Guinea-Bissau wagubikwa na ghasia

    Uchaguzi wa rais Guinea-Bissau wagubikwa na ghasia

    Nov 25, 2019 04:21

    Uchaguzi wa rais nchini Guinea-Bissau umemalizika kwa kushuhudiwa ghasia na mapigano kutokana na upande wa upinzani kuituhumu serikali kuwa imefanya uchakachuaji.

  • Ushindi wa mgombea wa kujitegemea katika uchaguzi wa Rais nchini Tunisia

    Ushindi wa mgombea wa kujitegemea katika uchaguzi wa Rais nchini Tunisia

    Oct 14, 2019 09:04

    Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais nchini Tunisia ilifanyika jana Jumapili na matokeo yasiyo rasmi yanaonyesha kuwa, mgombea wa kujitegemea Kais Saied ameibuka na ushindi kwa kujipatia asilimia 75 ya kura.

  • Buhari akadhibisha uvumi, asema hatagombea tena kiti cha rais Nigeria

    Buhari akadhibisha uvumi, asema hatagombea tena kiti cha rais Nigeria

    Oct 03, 2019 03:59

    Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amekadhibisha uvumi unaosambazwa nchini humo kupitia mitandao ya kijamii ukidai kwamba, ana nia ya kugombea tena kiti hicho kwa mara ya tatu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS