-
Ushindi wa mgombea wa kujitegemea katika uchaguzi wa Rais nchini Tunisia
Oct 14, 2019 09:04Duru ya pili ya uchaguzi wa Rais nchini Tunisia ilifanyika jana Jumapili na matokeo yasiyo rasmi yanaonyesha kuwa, mgombea wa kujitegemea Kais Saied ameibuka na ushindi kwa kujipatia asilimia 75 ya kura.
-
Buhari akadhibisha uvumi, asema hatagombea tena kiti cha rais Nigeria
Oct 03, 2019 03:59Rais Muhammadu Buhari wa Nigeria amekadhibisha uvumi unaosambazwa nchini humo kupitia mitandao ya kijamii ukidai kwamba, ana nia ya kugombea tena kiti hicho kwa mara ya tatu.
-
An-Nahdhah yatangaza kumuunga mkono Kais Saied katika duru ya pili ya uchaguzi wa rais wa Tunisia
Sep 20, 2019 10:24Harakati ya Kiislamu ya An-Nahdhah ya nchini Tunisia imetangaza kuwa, itamuunga mgombea wa kujitegemea Profesa Kais Saied katika duru ya pili ya kinyang'anyiro cha uchaguzi wa rais wa nchi hiyo.
-
Uchaguzi wa Rais wa Tunisia na changamoto zake
Sep 14, 2019 07:05Wananchi wa Tunisia kesho Jumapili wataelekea kwenye masanduku ya kupigia kura katika uchaguzi wa mapema kumchagua rais wao wa baadaye miongoni mwa wagombea 26 wa kiti hicho ikiwa zimepita siku 50 tangu kuaga dunia Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia.
-
Mgombea urais wa Jumapili ya kesho Tunisia aendelea kushikiliwa mahabusu
Sep 13, 2019 22:37Mahakama ya Rufaa ya Tunisia imekataa ombi la mgombea urais katika kinyang'anyiro cha Jumapili ya kesho, Nabil Karoui la kuachiwa huru kwa ajili ya kushiriki katika uchaguzi huo.
-
Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia kugombea kiti cha urais
Aug 06, 2019 20:54Rais na Waziri Mkuu wa zamani wa Tunisia wametangaza kuwa watagombea kiti cha urais katika uchaguzi ujao nchini humo.
-
Tunisia yatangaza rasmi tarehe ya uchaguzi wa Rais
Jul 31, 2019 22:27Viongozi wa Tunisia wametangaza rasmi tarehe 15 mwezi Septemba kuwa siku ya kufanyika uchaguzi wa rais nchini humo kufuatia kuaga dunia Rais wa nchi hiyo, Beji Caid Essebsi.
-
Algeria; kuendelea mgogoro au kufanya harakati katika njia ya demokrasia?
Mar 12, 2019 22:55Baada ya wiki kadhaa za malalamiko, maandamanao na kushadidi hali hiyo katika siku za hivi karibuni baada ya Rais Abdelaziz Bouteflika wa Algeria kutangaza kugombea kiti cha urais kwa muhula wa tano mtawalia, hatimaye kiongozi huyo amefutilia mbali uamuzi wake huo.
-
Mamia ya watu watiwa nguvuni Nigeria kwa uhalifu unaohusiana na uchaguzi
Mar 06, 2019 03:55Polisi ya Nigeria imetangaza kuwa, imewatia nguvuni zaidi ya watu 300 kwa tuhuma za kufanya uhalifu unaohusiana na uchaguzi wa mkuu uliofanyika mwezi uliopita.
-
Kushinda tena Urais "Muhammadu Buhari" na kibarua kigumu anachokabiliwa nacho
Feb 27, 2019 22:59Tume ya Uchaguzi ya Nigeria jana ilitangaza rasmi kuwa Muhammadu Buhari ameibuka mshindi baada ya kumbwaga mshindani wake mkuu Atiku Abubakar na hivyo kupata fursa ya kuiongoza nchi hiyo kwa muhula wa pili.