-
Mwanamke anayechukia Waislamu apatikana na hatia ubadhirifu Ufaransa
Apr 01, 2025 02:40Mahakama moja nchini Ufaransa jana Jumatatu ilimpata na hatia ya ubadhirifu, Marine Le Pen, aliyekuwa mgombea urais wa Ufaransa kwa mihula miwili na kiongozi wa chama cha National Rally (RN) chenye chuki dhidi ya Waislamu. Hukumu hiyo itaathiri mustakabali wake wa kisiasa, hasa kugombea katika uchaguzi wa rais wa Ufaransa wa 2027.
-
Niger yajitoa rasmi katika Jumuiya ya Nchi Zinazozungumza Kifaransa, Francophone
Mar 19, 2025 04:14Niger imejiondoa rasmi katika Jumuiya ya Kimataifa ya nchi zinazozungumza Kifaransa (OIF) au Francophone sambamba na juhudi zinazoendelea kufanywa na taifa hilo la Afrika Magharibi za kuvunja uhusiano na kujitenga na mkoloni wake wa zamani, Ufaransa.
-
Waziri wa Fedha wa Ufaransa: Kuna udharura wa kujibu 'Vita vya kijinga' vya Trump
Mar 15, 2025 02:24Waziri wa Fedha wa Ufaransa amevitaja vitisho vya Rais wa Marekani, Donald Trump vya kutoza ushuru wa asilimia 200 kwa uagizaji wa bidhaa za Umoja wa Ulaya kuwa ni vya "kijinga".
-
Le Pen: Vita vya maneno katika Ikulu ya White House kofi la uso kwa Ulaya
Mar 02, 2025 06:37Marine Le Pen, kiongozi wa chama cha mrengo wa kulia wa Ufaransa, ameutaja mkutano wa hivi karibuni kati ya viongozi wa Ukraine na Marekani kuwa ni ishara ya utegemezi wa nchi za Ulaya kwa Marekani.
-
Ivory Coast yatangaza tarehe ya kuondoka wanajeshi wa Ufaransa nchini humo
Feb 08, 2025 02:58Serikali ya Ivory Coast imeainisha tarehe ya kuondoka wanajeshi 'vamizi' wa Ufaransa katika nchi hiyo ya Afrika Magharibi.
-
Wanajeshi wa Ufaransa kuondoka pia Senegal
Jan 19, 2025 05:46Serikali ya Ufaransa inapanga kufunga kambi yake ya kijeshi nchini Senegal baada ya kuwaondoa wanajeshi wake kutoka Senegal.
-
Ufaransa yamuonya Trump kuhusu eneo la Greenland la Denmark
Jan 09, 2025 03:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa, Jean-Noel Barrot, jana Jumatano alimtahaharisha Donald Trump kuhusu hatua yake ya kutishia "mipaka huru" ya Umoja wa Ulaya baada ya rais huyo mteule wa Marekani kukataa kutupilia mbali hatua za kijeshi za kutaka kuidhibiti Greenland, eneo linalojitawala la mwanachama wa Umoja wa Ulaya, Denmark.
-
Chad yakosoa ubabe na ukoloni wa Ufaransa
Jan 08, 2025 15:37Kufuatia kauli za Rais wa Ufaransa kwamba nchi za Afrika zimesahau kuishukuru Paris kwa kushiriki katika kile anachosema ni 'mapambano dhidi ya ugaidi' katika eneo la Sahel, Waziri wa Mambo ya Nje wa Chad amekosoa maneno hayo na kuyalaani.
-
Chad na Senegal zakerwa na matamshi ya Rais wa Ufaransa dhidi ya viongozi wa Afrika
Jan 07, 2025 12:18Chad imeelezwa kukerwa na kauli iliyotolewa na Rais wa Ufaransa Emmanuel Macron dhidi ya viongozi wa Afrika.
-
Mwaka mpya waanza na maafa Ufaransa, magari 1000 yamechomwa moto mkesha wa mwaka mpya
Jan 03, 2025 03:45Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa ametangaza kuwa magari elfu moja yalichomwa moto wakati wa ghasia na machafuko ya sherehe za kukaribisha mwaka mpya nchini humo.