Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Uungaji mkono wa wazi wa Marekani kwa hatua za uharibifu nchini Lebanon

    Uungaji mkono wa wazi wa Marekani kwa hatua za uharibifu nchini Lebanon

    Aug 10, 2020 01:58

    Marekani imeshadidisha hatua na mwenendo wake wa uingiliaji masuala ya ndani ya Lebanon kwa shabaha ya kudhoofisha mhimili wa muqawama na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah.

  • Hitilafu kali za Ujerumani na Ufaransa dhidi ya Marekani kuhusu marekebisho katika shirika la WHO

    Hitilafu kali za Ujerumani na Ufaransa dhidi ya Marekani kuhusu marekebisho katika shirika la WHO

    Aug 08, 2020 22:48

    Kushindwa serikali ya Rais Donald Trump kudhibiti maambukizi ya virusi vya COVID-19 nchini Marekani kumemfanya rais huyo ajaribu kuwepa lawama za kufeli huko kwa kulituhumu Shirika la Afya Duniani WHO kuwa lilifeli katika utekelezaji wa majukumu yake.

  • Malengo ya safari ya Macron mjini Beirut

    Malengo ya safari ya Macron mjini Beirut

    Aug 07, 2020 02:24

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amefanya safari katika mji mkuu wa Lebanon, Beirut, siku mbili tu baada ya kutokea mlipuko mkubwa uliosababisha maafa na hasara kubwa katika mji huo.

  • Wabunge wa Ufaransa wataka Bahrain ifutilie mbali hukumu ya kunyongwa vijana wawili wa nchi hiyo

    Wabunge wa Ufaransa wataka Bahrain ifutilie mbali hukumu ya kunyongwa vijana wawili wa nchi hiyo

    Jul 28, 2020 06:56

    Wabunge wa Ufaransa wameuandikia barua utawala wa Aal Khalifa wa Bahrain wakiutaka ufutilie mbali hukumu ya kunyongwa vijana wawili wa nchi hiyo.

  • Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya

    Msimamo wa Macron dhidi ya uingiliaji wa Uturuki Libya

    Jun 23, 2020 03:04

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amesema kuwa uingiliaji kijeshi wa Ufaransa nchini Libya ni mchezo hatari.

  • Sharti la Uturuki kukubali usitishaji vita nchini Libya

    Sharti la Uturuki kukubali usitishaji vita nchini Libya

    Jun 22, 2020 04:52

    Ibrahim Kalin, Msemaji wa Ikulu ya Rais wa Uturuki amesema kuwa usitishaji vita utatekelezwa nchini Libya kwa sharti kuwa wapiganaji wanaojiita Jeshi la Taifa la Libya wanaoongozwa na jenerali muasi Khalifa Hafta waondoke katika mji wa Sirte.

  • HRW yaitaka Ufaransa kukomesha mienendo ya kibaguzi ya polisi

    HRW yaitaka Ufaransa kukomesha mienendo ya kibaguzi ya polisi

    Jun 19, 2020 02:40

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Human Rights Watch (HRW) limetoa taarifa likiituhumu Polisi ya Ufaransa kuwa inaamiliana kibaguzi na raia wenye asili ya Kiarabu na Kiafrika wa nchi hiyo.

  • Macron apinga kushambuliwa nembo za kikoloni

    Macron apinga kushambuliwa nembo za kikoloni

    Jun 15, 2020 22:05

    Kufuatia kuenea maandamano ya kupinga ubaguzi wa rangi na utaifa huko Marekani ambapo wimbi lake limeenea pia barani Ulaya; wafanya maandamano na wale wote wanaopinga vitendo hivyo vya ubaguzi wameshambulia nembo mbalimbali za kikoloni katika nchi mbalimbali duniani ambazo kwa karne kadhaa zilipelekea raia weusi kutumiwa kama watumwa katika nchi za Magharibi. suala hilo limepingwa na baadhi ya wakuu wa Ulaya akiwemo Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa.

  • Kabuga, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari Rwanda akanusha tuhuma dhidi yake

    Kabuga, mshukiwa mkuu wa mauaji ya kimbari Rwanda akanusha tuhuma dhidi yake

    May 27, 2020 22:47

    Felicien Kabuga, mtuhumiwa mkuu wa mauaji ya kimbari ya Rwanda ambaye alikuwa mafichoni kwa muda wa miaka 26 kabla ya kukamatwa siku chache zilizopita nchini Ufransa amekanusha mashitaka ya kuhusika na mauaji hayo.

  • Radiamali ya Ufaransa kuhusu jitihada za Marekani za kurejesha vikwazo dhidi ya Iran

    Radiamali ya Ufaransa kuhusu jitihada za Marekani za kurejesha vikwazo dhidi ya Iran

    May 16, 2020 03:34

    Ufaransa imetoa radiamali yake kuhusu vitisho vya Marekani vya kurejesha vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran na kusisitiza kuwa inafungamana na mapatnao ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS