Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Rouhani: Pande zote zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya Iran yatavunjika

    Rouhani: Pande zote zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya Iran yatavunjika

    Mar 05, 2018 23:26

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema pande zote husika zitajuta iwapo makubaliano ya nyuklia ya JCPOA yatasambaratika, katika hali ambayo Marekani inafanya jitihada za kuyafelisha mapatano hayo na kutoa vitisho vya kujiondoa kwenye makubaliano hayo kila mara.

  • Safari ya Jean-Yves Le Drian mjini Tehran: Mazungumzo ya wazi na kinagaubaga

    Safari ya Jean-Yves Le Drian mjini Tehran: Mazungumzo ya wazi na kinagaubaga

    Mar 05, 2018 03:54

    Leo Iran ni mwenyeji wa Jean-Yves Le Drian Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa ambaye amewasili mapema leo alfajiri katika mji mkuu, Tehran kwa lengo la kufanya mazungumzo na wakuu wa Iran.

  • Rouhani: Marekani imekuwa ikivuruga utekelezwaji mapatano ya nyuklia

    Rouhani: Marekani imekuwa ikivuruga utekelezwaji mapatano ya nyuklia

    Mar 05, 2018 02:25

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: "Iran inafungamana na ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji, JCPOA,' lakini la kusikitisha ni kuwa Marekani daima imekuwa ikiweka vizingiti katika utekelezwaji wa mapatano haya ya kimataifa."

  • Ufaransa yasisitiza kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Ufaransa yasisitiza kuheshimu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA

    Mar 04, 2018 13:10

    Viongozi wa Ufaransa wamesisitiza tena misimamo yao juu ya kuyalinda na kuyaheshimu makubaliano ya nyuklia yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA).

  • Safari ya Rais wa Ufaransa Afrika

    Safari ya Rais wa Ufaransa Afrika

    Feb 03, 2018 23:11

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amefanya safari huko Tunisia na Senegal na kufanya mashauriano na viongozi wa ngazi za juu wa nchi mbili hizo kuhusu masuala mbalimbali kama kuzidisha ushirikiano wa pande mbili, mapambano dhidi ya ugaidi na masuala yanayohusiana na Libya.

  • Ubaguzi wa vikosi vya usalama vya Ufaransa dhidi ya Waislamu na Wafaransa wenye asili ya Afrika

    Ubaguzi wa vikosi vya usalama vya Ufaransa dhidi ya Waislamu na Wafaransa wenye asili ya Afrika

    Jan 27, 2018 04:33

    Vikosi vya usalama vya Ufaransa vimekuwa vikiwabagua Waislamu na raia wa nchi hiyo wenye asili ya Afrika ikiwa ni katika muendelezo wa siasa za vikosi hivyo za kuwabagua raia wa nchi hiyo ya barani Ulaya.

  • Qassemi: Iran haitafanya mazungumzo na yeyote kuhusu miradi yake ya makombora

    Qassemi: Iran haitafanya mazungumzo na yeyote kuhusu miradi yake ya makombora

    Jan 22, 2018 11:00

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran haijafanya na haitafanya mazungumzo na nchi yoyote ile kuhusiana na mpango wake wa makombora.

  • Malalamiko ya wanaharakati wa taasisi za kiraia za Kongo DR dhidi ya serikali ya Ufaransa

    Malalamiko ya wanaharakati wa taasisi za kiraia za Kongo DR dhidi ya serikali ya Ufaransa

    Jan 22, 2018 09:33

    Wanaharakati wa makundi ya kiraia nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wamewasilisha malalamiko yao wakipinga siasa zinazotekelezwa na serikali ya Ufaransa kuhusu nchi yao.

  • Mahakama ya Ufaransa yawaachia huru askari waliowanajisi watoto Bangui

    Mahakama ya Ufaransa yawaachia huru askari waliowanajisi watoto Bangui

    Jan 17, 2018 04:53

    Mahakama moja nchini Ufaransa imetangaza kuhitimisha faili la tuhuma za askari wa nchi hiyo waliowanajisi watoto wa Jamhuri ya Afrika ya Kati kwa madai ya kutokuwepo ushahidi wa kutosha.

  • Equatorial Guinea yasema jaribio la mapinduzi lilipangwa Ufaransa

    Equatorial Guinea yasema jaribio la mapinduzi lilipangwa Ufaransa

    Jan 11, 2018 04:10

    Serikali ya Equatorial Guinea imesema jaribio la mapinduzi lililofeli mwishoni mwa mwaka uliomalizika wa 2017 liliratibiwa ndani ya ardhi ya Ufaransa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS