Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Ufaransa

  • Hollande: Mapambano dhidi ya ugadi yatachukua muda

    Hollande: Mapambano dhidi ya ugadi yatachukua muda

    Jul 15, 2016 11:52

    Rais Francois Hollande wa Ufaransa amesema katika mkutano na vyombo vya habari katika mji wa Nice kuwa mapambano dhidi ya ugaidi yatachukua muda, kwa sababu adui angali anaendeleza mashambulizi yake.

  • Mwangwi wa shambulizi la kigaidi la Nice

    Mwangwi wa shambulizi la kigaidi la Nice

    Jul 15, 2016 11:40

    Shambulizi la kigaidi lililofanyika jana usiku katika mji wa pwani wa Nice nchini Ufaransa limeacha mwangwi mkubwa katika pembe mbalimbali za dunia.

  • Ufaransa kuondoa askari wake Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Ufaransa kuondoa askari wake Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jul 14, 2016 02:06

    Rais Francois Hollande wa Ufaransa ametangaza kuwa nchi yake itaondoa askari wake huko Jamhuri ya Afrika ya Kati ifikapo mwezi Oktoba mwaka huu.

  • Zarif: Mgogoro wa Syria utatuliwe kwa njia ya kisiasa

    Zarif: Mgogoro wa Syria utatuliwe kwa njia ya kisiasa

    Jun 23, 2016 11:22

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mgogoro wa Syria unaweza tu kutatuliwa kwa njia ya kisiasa.

  • Zarif: Uhusiano wa Iran na Ufaransa ni kwa maslahi ya dunia

    Zarif: Uhusiano wa Iran na Ufaransa ni kwa maslahi ya dunia

    Jun 23, 2016 03:37

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Iran amesisitiza umuhimu wa kuimarishwa uhusiano kati ya Jamhuri ya Kiislamu na Ufaransa na kusema kuwa ushirikiano huo utachangia kuleta amani na uthabiti duniani.

  • Uchunguzi wa ukatili uliofanywa na askari wa Ufaransa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Uchunguzi wa ukatili uliofanywa na askari wa Ufaransa Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Jun 21, 2016 23:37

    Ufaransa imeanza kufanya uchunguzi kuhusu ukatili na unyanyasaji wa kingono uliofanywa na wanajeshi wa nchi hiyo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. Mkuu wa Mashtaka wa Paris wiki iliyopita alianzisha uchunguzi wa awali kuhusu askari wa Ufaransa wanaotuhumiwa kufanya vitendo vya unyanyasaji wa kingono katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • 'Janga la Kimaumbile' latangazwa Paris kufuatia mafuriko

    'Janga la Kimaumbile' latangazwa Paris kufuatia mafuriko

    Jun 04, 2016 00:04

    Rais Francois Hollande wa Ufaransa ametangaza 'maafa ya kibinadamu' katika mji mkuu wa nchi hiyo kufuatia mvua kali ambazo zimesababisha mafuriko makubwa.

  • Mahmoud Abbas asisitiza kutekelezwa mpango wa 'amani' wa Ufaransa

    Mahmoud Abbas asisitiza kutekelezwa mpango wa 'amani' wa Ufaransa

    Jun 03, 2016 02:52

    Mahmoud Abbas, Rais wa Mamlaka ya Ndani ya Palestina amesisitiza tena kutekelezwa mpango wa Ufaransa wa kutatua kadhia ya Palestina licha ya Wapalestina wenyewe kuupinga mpango huo.

  • Safari ya Rais wa Ufaransa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Safari ya Rais wa Ufaransa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    May 14, 2016 02:36

    Rais Francois Hollande wa Ufaransa Ijumaa aliitembelea kwa masaa kadhaa Jamhuri ya Afrika ya Kati (CAR)na kukutana na rais wa nchi hiyo Faustin-Archange Touadéra.

  • Mameya wa Rwanda kizimbani Ufaransa kwa tuhuma za mauaji ya kimbari ya 1994

    Mameya wa Rwanda kizimbani Ufaransa kwa tuhuma za mauaji ya kimbari ya 1994

    May 10, 2016 10:33

    Mameya wawili wa zamani wa Rwanda Jumanne hii wamefikishwa kizimbani Ufaransa wakikabiliwa na mashtaka ya kutenda jinai dhidi ya binadamu na mauaji ya kimbari mwaka 1994 katika nchi hiyo ya Mashariki mwa Afrika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS