Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ufisadi wa kifedha

  • Raila Odinga kuanzisha tena vuguvugu la maandamano dhidi ya sera ya ushuru wa Rais Ruto wa Kenya

    Raila Odinga kuanzisha tena vuguvugu la maandamano dhidi ya sera ya ushuru wa Rais Ruto wa Kenya

    Dec 31, 2023 08:51

    Kiongozi wa kambi ya upinzani nchini Kenya, Raila Odinga, amesema kwamba katika mwaka mpya ataanzisha vuguvugu wa kuwahamasisha Wakenya kupinga ubadhirifu wa serikali ikiwa ni pamoja na kutoza ushuru mkubwa kuzuia fedha za elimu bila malipo na ufisadi.

  • Woga wa Marekani wa kukumbwa huko Ukraine na yale yale yaliyoikumba Washington nchini Afghanistan

    Woga wa Marekani wa kukumbwa huko Ukraine na yale yale yaliyoikumba Washington nchini Afghanistan

    Jul 31, 2023 02:31

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani imeonya kuhusu athari mbaya za ufisadi wa kiserikali nchini Ukraine kutokana na misaada isiyo na mahesabu ya kiuchumi inayomiminiwa nchi hiyo ya Ulaya Mashariki.

  • Katika uamuzi wa aina yake.. Rais wa zamani wa Ufaransa ahukumiwa kifungo miaka 3 jela katika kesi ya ufisadi

    Katika uamuzi wa aina yake.. Rais wa zamani wa Ufaransa ahukumiwa kifungo miaka 3 jela katika kesi ya ufisadi

    May 17, 2023 11:09

    Mahakama ya Rufaa ya Paris leo, Jumatano, imemhukumu Rais wa zamani wa Ufaransa, Nicolas Sarkozy kifungo cha miaka 3 jela, ambapo anawekwa chini ya uangalizi kwa kufungwa bangili ya kielektroniki. Ni baada ya kupatikana na hatia ya kuhusika na ufisadi na kutumia vibaya madaraka, hatua ambayo haijawahi kushuhudiwa dhidi ya rais wa zamani wa Ufaransa.

  • Ramaphosa atakiwa kujiuzulu kwa tuhuma za ufisadi, mwenyewe amezikanusha

    Ramaphosa atakiwa kujiuzulu kwa tuhuma za ufisadi, mwenyewe amezikanusha

    Dec 02, 2022 10:57

    Rais Cyril Ramaphosa wa Afrika Kusini anakabiliwa na miito mbalimbali inayomtaka ajiuzulu baada ya uchunguzi wa Bunge kubaini kuwa huweda alikiuka sheria za kupambana na ufisadi kuhusiana na wizi wa mamilioni ya dola katika shamba lake la Phala Phala.

  •  Tshisekedi aifuta kazi bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa ya Madini kufuatia ufisadi mkubwa

    Tshisekedi aifuta kazi bodi ya wakurugenzi ya Kampuni ya Taifa ya Madini kufuatia ufisadi mkubwa

    Dec 05, 2021 03:15

    Rais Felix Tshisekedi wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo aifuta kazi bodi nzima ya wakurugenzi wa Kampuni ya Taifa ya Madini ya Gecamine akiwemo Mwenyekiti Albert Yuma, Mkurugenzi Mkuu na Naibu wake.

  • Waziri wa zamani wa michezo Kenya ahepa kifungo cha miaka 6 jela kwa hatia ya ufisadi

    Waziri wa zamani wa michezo Kenya ahepa kifungo cha miaka 6 jela kwa hatia ya ufisadi

    Sep 16, 2021 13:35

    Habari za karibuni zinasema kuwa, aliyekuwa Waziri wa Michezo wa Kenya Hassan Wario sasa yuko huru baada ya kulipa faini ya shilingi milioni 3 saa chache baada ya kuhukumiwa kifungo cha miaka 6 jela kuhusiana na sakata ya Rio 2016.

  • Wataalamu wa haki za binadamu: UAE inawapa hifadhi watuhumiwa wa kesi kubwa za ufisadi nchini Afrika Kusini

    Wataalamu wa haki za binadamu: UAE inawapa hifadhi watuhumiwa wa kesi kubwa za ufisadi nchini Afrika Kusini

    Jul 18, 2021 08:19

    Tovuti ya Marekani ya Foreign Policy imechapisha makala ya wataalamu wawili katika mashirika ya haki za binadamu wakiitaka Imarati (UAE) ishirikiane na serikali ya Afrika Kusini na kuwakabidhi washukiwa wa tuhuma za ufisadi na kuhujumu uchumi.

  • Kamati za Bunge la Kenya zatuhumiwa kula rushwa na kufanya ufisadi

    Kamati za Bunge la Kenya zatuhumiwa kula rushwa na kufanya ufisadi

    Apr 13, 2021 13:42

    Kamati za Bunge la Kenya zimetuhumiwa kuwa zinakula rushwa na kuhusika na ufisadi kutokana na wabunge wanaosimamia kamati hizo kufumbia macho uhalifu na mashtaka yanayowasishwa mkabala wa kula rushwa na kupokea hongo.

  • UN: Ufisadi wa fedha umejiri katika kumchagua Waziri Mkuu wa Libya

    UN: Ufisadi wa fedha umejiri katika kumchagua Waziri Mkuu wa Libya

    Mar 01, 2021 12:25

    Ripoti ya Wataalamu wa Umoja wa Mataifa inaonyesha kuwa, rushwa ya fedha ilitolewa kwa watu wasiopungua 3 ambao ni wajumbe wa kikao cha mazungumzo ya kisiasa ya Libya katika kumchagua Waziri Mkuu wa serikali ya umoja wa kitaifa ya nchi hiyo.

  • Rais wa zamani wa Sierra Leone azuiwa kuondoka nchini, kisa ufisadi

    Rais wa zamani wa Sierra Leone azuiwa kuondoka nchini, kisa ufisadi

    Sep 30, 2020 12:47

    Serikali ya Sierra Leone imemuwekea vikwazo vya kusafiri nje ya nchi aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Ernest Bai Koroma anayeandamwa na tuhuma za ufisadi wa kifedha.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS