Feb 11, 2018 07:23
Mwakilishi wa bunge la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, Knesset, amesema kuwa, hatua ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel ya kuzusha mizozo ndani ya utawala huo ni kujaribu kupotosha fikra za walio wengi kuhusiana shutuma kubwa za ufisadi wa fedha zinazomkabili.