-
Waisraeli waandamana dhidi ya Netanyahu kwa wiki ya tano
Dec 31, 2017 14:47Maelfu ya Waisraeli wamemiminika mabarabarani kwa wiki ya tano mfululizo kushiriki maandamano ya kushinikiza kufungwa jela Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu kutokana na kashfa za ufisadi wa kifedha zinazomuandama.
-
Kiongozi mpya wa chama tawala nchini Afrika Kusini aahidi kupambana na ufisadi
Dec 21, 2017 16:16Cyril Ramaphosa kiongozi mpya wa chama tawala nchini Afrika Kusini ANC amesema leo kuwa ameazimia kukomesha ufisadi na kutekeleza sera ya mageuzi makali ya kiuchumi ambayo yataharakisha utaifishaji wa ardhi bila ya fidia.
-
Waisraeli waandamana Tel Aviv dhidi ya ufisadi wa Netanyahu
Oct 08, 2017 07:50Wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu utawala wa Kizayuni wameandamana huko Tel Aviv wakitaka kushughulikiwa kesi ya ufisadi inayomkabili Waziri Mkuu wa utawala huo ghasibu.
-
Kashfa ya ufisadi yamlazimu Waziri wa Afya Marekani ajiuzuluu kutoka serikali ya Trump
Sep 30, 2017 04:48Waziri wa Afya na Huduma za Binaadamu nchini Marekani, Tom Price amelazimika kujiuzulu kutokana na kashfa ya ufisadi inayomkabili.
-
Rais aliyeuzuliwa Korea Kusini akamatwa na kuzuiliwa na polisi
Mar 31, 2017 14:42Rais aliyeondolewa madarakani hivi karibuni wa Korea Kusini, Park Geun-hye amekamatwa na polisi ya nchi hiyo kwa tuhuma za ufisadi na utumiaji mbaya wa madaraka.
-
Waendesha mashtaka Korea Kusini washinikiza kukamatwa rais aliyeuzuliwa
Mar 27, 2017 07:50Waendesha mashtaka nchini Korea Kusini wametoa wito wa kutolewa waranti wa kukamatwa rais aliyeondolewa madarakani hivi karibuni wa nchi hiyo, Park Geun-hye.
-
Sisitizo la wapinzani wa Netanyahu la kujiuzulu Waziri Mkuu huyo wa Israel
Feb 05, 2017 07:20Upinzani dhidi ya Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel umeongezeka sana hivi sasa. Mamia ya wakazi wa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu wanaendelea kuandamana wakimshikinikiza Netanyahu ajiuzulu.
-
Benjamin Netanyahu azidi kuandamwa
Jan 15, 2017 07:17Mamia ya wakazi wa utawala wa Kizayuni wa Israel wamefanya maandamano ya kulaani ufisadi wa kifedha wa viongozi wa utawala huo hususan Benjamin Netanyahu, Waziri Mkuu wa Israel, mjini Tel Aviv.
-
SID: Serikali ya Jubilee nchini Kenya imeshindwa kupambana na ufisadi
Dec 15, 2016 06:53Shirika la kutetea haki za umma la SID limetangaza kuwa SERIKALI ya Jubilee nchini Kenya imetimiza ahadi moja pekee kati ya 30 ilizotoa kuhusiana na mikakati ya kupambana na ufisadi.
-
Maandamano ya raia wa Mali ya kuunga mkono maridhiano ya kitaifa
Jul 31, 2016 13:47Maelfu ya wananchi wa Mali wameshiriki katika maandamano makubwa ya kuunga mkono makubaliano ya amani na makundi ya wabeba silaha nchini.