Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Uropokaji mpya wa Trump dhidi ya Iran

    Uropokaji mpya wa Trump dhidi ya Iran

    Jun 13, 2019 06:50

    Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akichukua misimamo ya chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni amekuwa akitumia stratijia ya 'mashinikizo ya juu zaidi' kuilazimisha Iran ikubali matakwa yake ya kidhalimu.

  • Guterres akutana na waathiriwa wa shambulizi la kigaidi la New Zealand

    Guterres akutana na waathiriwa wa shambulizi la kigaidi la New Zealand

    May 14, 2019 03:19

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametadharisha kuwa, matamshi ya chuki na kibaguzi yanaenea kwa kasi ya kutisha mitandaoni, na kusisitiza kuwa UN itaongoza jitihada za kupambana na tatizo hilo.

  • Mhubiri wa Kiwahhabi aliyesoma Saudia akamatwa Sri Lanka, ahusishwa na ugaidi

    Mhubiri wa Kiwahhabi aliyesoma Saudia akamatwa Sri Lanka, ahusishwa na ugaidi

    May 12, 2019 10:25

    Wakuu wa Sri Lanka wamemkamata mhubiri wa Kiwahhabi aliyesoma nchini Saudi Arabia baada ya kushukiwa kuwa na mfungamano na magaidi waliotekeleza hujuma za kigaidi zilizoua mamia ya watu nchini humo mwezi jana.

  • Jeshi la Iraq lafelisha njama za genge la Daesh (ISIS) za kutaka kurejea tena nchini humo

    Jeshi la Iraq lafelisha njama za genge la Daesh (ISIS) za kutaka kurejea tena nchini humo

    May 04, 2019 21:57

    Maafisa usalama nchini Iraq wametangaza kwamba, kikosi cha upelelezi cha nchi hiyo kimefanikiwa kufelisha njama za magaidi wa kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa ajili ya kuandaa mazingira ya kurejea tena ndani ya nchi hiyo.

  • Waliouawa katika hujuma za kigaidi Sri Lanka wakaribia 300

    Waliouawa katika hujuma za kigaidi Sri Lanka wakaribia 300

    Apr 22, 2019 02:36

    Idadi ya watu waliopoteza maisha katika hujuma za kigaidi nchini Sri Lanka inakaribia 300 huku wakuu wa usalama nchini humo wakitangaza kuwa wamewakamata washukiwa 24.

  • Onyo kali la Kamanda wa IRGC kuhusu hatua tarajiwa za wakuu wa Marekani

    Onyo kali la Kamanda wa IRGC kuhusu hatua tarajiwa za wakuu wa Marekani

    Apr 07, 2019 10:31

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu Iran (IRGC) ametoa onyo kali na kusema: "Iwapo Marekani itatekeleza hatua yake tarajiwa ya kuiweka IRGC katika orodha ya makundi ya kigaidi, basi ifahamu kuwa haitapata utulivu katika eneo."

  • Paris: Magaidi raia wa Ufaransa hawana ruhusa ya kurejea nchini

    Paris: Magaidi raia wa Ufaransa hawana ruhusa ya kurejea nchini

    Apr 01, 2019 02:29

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Ufaransa amesisitiza kuwa, hakuna gaidi yeyote raia wa Ufaransa atakayeruhusiwa kurejea nchini humo kutoka Syria na Iraq.

  •  Iran yatahadharisha: Israel inaunda muungano na magaidi

    Iran yatahadharisha: Israel inaunda muungano na magaidi

    Mar 29, 2019 11:31

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetahadharisha kuwa, utawala ghasibu wa Israel, ambao unatoa uungaji mkono kwa magaidi nchini Syria, unaweza kuunda muungano na magaidi hao iwapo tishio lao halitashughulikiwa ipasavyo.

  • Igizo jengine la Pompeo la uenezaji hofu na chuki dhidi ya Iran

    Igizo jengine la Pompeo la uenezaji hofu na chuki dhidi ya Iran

    Mar 29, 2019 00:05

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo ameifufua tena kampeni ya uenezaji hofu na chuki dhidi ya Iran kwa kuituhumu Jamhuri ya Kiislamu kwa kile alichodai, nafasi haribifu iliyonayo katika eneo la Magharibi ya Asia na kuunga mkono ugaidi.

  • Sisitizo la Antonio Guterres la ulazima wa kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)

    Sisitizo la Antonio Guterres la ulazima wa kukabiliana na chuki dhidi ya Uislamu (Islamophobia)

    Mar 24, 2019 03:07

    Matukio ya miaka ya hivi karibuuni katika medani ya kimataifa hususan kujitokeza makundi yenye kufurutu ada na kuenea vitendo vyao vya ugaidi katika madola ya Magharibi, yalivipatia vyombo vya habari na tawala za nchi hiyo kisingizio tosha cha kueneza chuuki dhidi ya Uislamu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS