-
Viongozi wa Kiislamu Kenya: Ugaidi hauna dini wala kabila
Jan 16, 2019 23:47Viongozi wa Waislamu nchini Kenya wamelaani shambulizi la kigaidi la hivi karibuni katika mji mkuu Nairobi, lililopelekea kuuawa makumi ya watu, huku wakisisitiza kuwa ugaidi hauna dini wala kabila.
-
Lori laponda kundi la watu na kuua 20 nchini Nigeria
Jan 13, 2019 12:53Maafisa wa Nigeria wametangaza kuwa, lori moja limevamia kundi la watu katika soko moja lenye mrundikano mkubwa wa watu kusini mwa nchi hiyo na kuua watu wasiopungua 20.
-
Magaidi Syria wakutwa na silaha za Marekani na utawala haramu wa Israel
Jan 07, 2019 00:56Wanajeshi wa serikali ya Syria wamenasa silaha zilizotegenezwa Marekani na katika utawala haramu wa Israel ambazo zilikuwa zinatumiwa na magaidi wakufurishaji katika mkoa wa Dara'a kusini maghairbi mwa nchi hiyo.
-
Msumbiji: Raia wa Tanzania na Afrika Kusini ndio wanaoongoza 'al-Shabaab'
Jan 01, 2019 04:46Waendesha Mashitaka nchini Msumbiji wamewataja raia wawili wa Tanzania na mmoja wa Afrika Kusini kuwa miongoni mwa makamanda wa kundi la kigaidi la al-Shabaab ambalo hapo awali lililikuwa linajiita Ahlu Sunna Wal Jamaa, linalofanya hujuma za umwagaji damu katika mkoa wa Cabo Delgado, kaskazini mwa nchi.
-
Sualal la wahajiri, ugaidi na hali ya uchumi; changamoto kuu zinazowakabili watu wa Ulaya
Dec 26, 2018 22:56Matokeo ya utafiti mmoja wa maoni uliofanywa barani Ulaya yameonyesha kuwa wahajiri, ugaidi na hali ya kifedha na kiuchumi ni changamoto kuu zitakazozikabili nchi za Ulaya katika mwaka ujao wa 2019.
-
Morocco yawatia nguvuni walioua watalii wa Norway na Denmark
Dec 22, 2018 11:48Serikali ya Morocco imewatia nguvuni watu 9 wanaotuhumiwa kuwa ndio waliwaua wataali wawili wa kike kutoka nchi za Denmark na Norway.
-
Khashoggi na waandishi habari wengine, Watu Mashuhuri mwaka huu
Dec 11, 2018 21:40Jarida la kila wiki la Marekani la Time limemteua mwandishi habari na mkosoaji wa utawala wa Saudi Arabia Jamal Khashoggi kuwa ndiye Mtu Mashuhuri wa Mwaka huu (Person of the Year) wa jarida hilo.
-
Rouhani: Madola ya kibeberu ndiyo yaliyounda makundi ya kigaidi duniani
Dec 09, 2018 00:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema madola ya kibeberu ndiyo yaliyounda na kuyafadhili kwa hali na mali makundi ya kigaidi duniani, na kwamba irada thabiti na jitihada za pamoja zinahitajika ili kulitokomeza jinamizi hilo linalotishia usalama wa dunia.
-
Utafiti: Ubaguzi wa rangi umeongezeka duniani
Dec 05, 2018 12:55Taasisi kwa ajili ya Uchumi na Amani (IEP) imeeleza katika ripoti yake mpya kuwa, idadi ya waathirika wa vitendo vya ubaguzi wa rangi iliongezeka na takwimu za watu waliouawa kutokana na mashambulio ya kigaidi ilipungua katika mwaka uliopita wa 2017.
-
Iran na Uturiki zahimizwa kukabiliana na ugaidi na propaganda chafu dhidi ya Uislamu
Dec 05, 2018 04:39Mkuu wa Jumuiya ya Masuala ya Dini nchini Uturuki amesema kuwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki ambazo ni nchi kubwa zaidi katika eneo la Mashariki ya Kati zinapaswa kuzidisha ushirikiano kwa ajili ya kupambana na ugaidi na njama zinazoeneza propaganda za kuchafua sura safi ya Uislamu.