-
Hizbullah: Marekani imeisadia Daesh huko al Bukamal
Nov 21, 2017 00:09Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa Marekani imeilisaidia kundi la kigaidi la Daesh katika mapigano ya hivi majuzi katika mji wa al Bukamal nchini Syria hatua ambayo inakadhibisha madai ya Washington kwamba inapambana na ugaidi
-
Guterres aonya juu ya kutumiwa vibaya mapambano dhidi ya ugaidi
Nov 17, 2017 13:18Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametahadharisha kuhusu athari mbaya za sera za kupambana na ugaidi za baadhi ya nchi kwa suala la haki za binadamu.
-
Sisitizo la Senegal juu ya kudhaminiwa usalama katika nchi za bara la Afrika
Nov 14, 2017 08:33Katika kikao cha nne cha Kongamano la Amani na Usalama wa Afrika Rais Macky Sall wa Senegal amesisitizia ulazima wa kutolewa misaada kwa ajili ya kudhaminiwa usalama wa nchi za bara hilo.
-
Iran: Wanawake ndio wahanga wakuu wa magenge ya kigaidi
Oct 28, 2017 04:36Balozi na mwakilishi wa kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema wanawake ndio wahanga wakuu wa ukatili wa makundi ya kigaidi duniani.
-
Watu saba wauawa katika hujuma ya kigaidi karibu na Mogadishu, Somalia
Oct 22, 2017 10:25Watu wasiopungua saba, wengi wakiwa wanawake wakulima, wameuawa karibu na mji mkuu wa Somalia kufuatia hujuma ya kigaidi huku mji huo ukiwa bado unaomboleza shambulizi la hivi karibuni lililoua mamia ya watu.
-
Magaidi wavunja benki na kushambulia kanisa Misri, 7 wauawa
Oct 16, 2017 10:28Kwa akali watu saba wameuawa na wengine kadhaa kujeruhiwa baada ya genge moja la kigaidi kuvamia benki na kuiba, sambamba na kushambulia kanisa katika eneo la Sinai, kaskazini mwa nchi.
-
Siku za kundi la kigaidi la Daesh nchini Iraq zaanza kuhesabika
Oct 11, 2017 23:16Sambamba na ushindi wa kila siku wa jeshi la Iraq na makundi ya kujitolea ya wananchi katika mapambano ya kuliangamiza kundi la kigaidi la ِِِDaesh na kusafisha kabisa maeneo yote ya nchi hiyo, Waziri Mkuu wa Iraq, Haider al-Abadi ametangaza kuwa, kundi hilo litashindwa kikamilifu hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu.
-
Makumi ya watu wenye silaha waangamizwa Algeria
Oct 10, 2017 04:41Wizara ya Ulinzi ya Algeria imetangaza kuwa, wanajeshi na polisi wa nchi hiyo wameua magaidi 86 kwenye maeneo tofauti ya nchi hiyo katika kipindi cha miezi minane ya kwanza ya mwaka huu.
-
"Sera kuu ya Iran ni kupambana na ugaidi, kutekeleza JCPOA na kuimarisha uhusiano na EU"
Oct 04, 2017 01:09Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inatoa kipaumbele kwa kadhia ya kupambana na ugaidi pamoja na kudumisha makubaliano ya kihistoria ya nyuklia yanayojulikana kama JCPOA.
-
FBI: Aliyefanya mauaji ya Las Vegas hana uhusiano na magenge ya kigaidi
Oct 03, 2017 04:39Polisi ya Upelelezi ya Marekani FBI imesema Stephen Paddock, ambaye alitekeleza mauaji ya makumi ya watu katika shambulizi la Las Vegas nchini humo hana uhusiano wowote na magenge ya kigaidi.