Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

ugaidi

  • Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani apinga vikali suala la kunasibishwa Uislamu na ugaidi

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani apinga vikali suala la kunasibishwa Uislamu na ugaidi

    Feb 19, 2017 10:48

    Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis amekosoa vikali propaganda chafu na hasi zinazofanywa dhidi ya Uislamu pamoja na dini nyingine.

  • Merkel: Russia na Waislamu wajumuishwe katika vita dhidi ya ugaidi

    Merkel: Russia na Waislamu wajumuishwe katika vita dhidi ya ugaidi

    Feb 19, 2017 04:13

    Kansela wa Ujerumani ametoa mwito wa kushirikishwa Russia na Waislamu katika kukabiliana na jinamizi la ugaidi.

  • Wasiwasi wa kuenea fikra za Uwahabi wa Saudia barani Ulaya

    Wasiwasi wa kuenea fikra za Uwahabi wa Saudia barani Ulaya

    Feb 10, 2017 04:28

    Serikali ya Ubelgiji imeonyesha wasi wasi wake juu ya kuenea mafundisho ya Uwahabi unaoungwa mkono na utawala wa Saudi Arabia ndani ya nchi hiyo na mataifa mengine ya Ulaya.

  • Larijani: Waungaji mkono wa ugaidi hawamo kwenye orodha ya Trump ya marufuku ya viza

    Larijani: Waungaji mkono wa ugaidi hawamo kwenye orodha ya Trump ya marufuku ya viza

    Feb 01, 2017 23:22

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran amesema nchi zinazounga mkono ugaidi hazimo kwenye orodha ya marufuku ya viza iliyotolewa na Rais wa Marekani.

  • Rouhani: Ushirikiano wa kimataifa unahitajika kukabili ugaidi

    Rouhani: Ushirikiano wa kimataifa unahitajika kukabili ugaidi

    Feb 01, 2017 04:04

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema ushirikiano wa kimataifa unahitajika iwapo dunia inataka natija katika vita dhidi ya ugaidi.

  •  Tunisia katika mtanziko wa kiusalama; magaidi elfu tatu wapo nje ya nchi

    Tunisia katika mtanziko wa kiusalama; magaidi elfu tatu wapo nje ya nchi

    Jan 02, 2017 22:55

    Rais Beji Caid Essebsi wa Tunisia tarehe 31 mwezi Disemba mwaka jana alieleza kuwa magaidi elfu tatu raia wa Tunisia wametapakaa katika pembe mbalimbali za dunia khususan huko Iraq, Syria na Libya.

  • Amani na mapatano ya kitaifa, kipaumbele cha wakuu wa Afrika mwaka 2017

    Amani na mapatano ya kitaifa, kipaumbele cha wakuu wa Afrika mwaka 2017

    Jan 02, 2017 00:49

    Viongozi wa nchi za Kiafrika wamesema kuwa siasa zao kwa mwaka mpya wa 2017 zinatoa kipaumbele kwa suala la kurejesha amani na kupatikana suluhu ya kitaifa barani humo.

  • Tahadhari ya maafisa usalama wa Tunisia kuhusu kurejea magaidi nchini humo

    Tahadhari ya maafisa usalama wa Tunisia kuhusu kurejea magaidi nchini humo

    Dec 27, 2016 01:11

    Licha ya kupita miaka sita ya tangu kutokea mapinduzi ya wananchi huko Tunisia, hali ya usalama ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika bado si ya utulivu na hivi sasa kuna wasiwasi mkubwa wa kurejea magaidi na kufanya vitendo vya kigaidi nchini humo.

  • Sisitizo la Umoja wa Afrika la kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab

    Sisitizo la Umoja wa Afrika la kupambana na kundi la kigaidi la al-Shabab

    Dec 21, 2016 23:32

    Kikosi cha kusimamia amani cha Umoja wa Afrika nchini Somalia AMISOM kwa mara nyingine tena kimesisitiza juu ya azma yake ya kukabiliana na tishio la kundi la kigaidi la al-Shabab.

  • Rais wa Russia awataka walimwengu wapambane kwa dhati na ugaidi

    Rais wa Russia awataka walimwengu wapambane kwa dhati na ugaidi

    Dec 21, 2016 03:32

    Rais Vadimir Putin wa Russia ametoa wito wa kuweko vita vya kweli vya kupambana na ugaidi wa kimataifa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS