Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Uganda

  • Yoweri Museveni aapishwa kuwa Rais wa kipindi cha tano mfululizo nchini Uganda

    Yoweri Museveni aapishwa kuwa Rais wa kipindi cha tano mfululizo nchini Uganda

    May 12, 2016 10:52

    Rais Yoweri Museveni wa Uganda ambaye alishinda katika uchaguzi wa mwezi Februari mwaka huu, leo Alkhamisi ameapishwa kuwa rais wa nchi hiyo kwa kipindi cha tano mfululizo.

  • Besigye kuendelea kuzuiliwa wakati Rais Museveni wa Uganda akiapishwa

    Besigye kuendelea kuzuiliwa wakati Rais Museveni wa Uganda akiapishwa

    May 12, 2016 03:32

    Katika hali ambayo Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda anatazamiwa kuapishwa wakati wowote tokeo sasa, kinara wa upinzanai nchini humo Dakta Kizza Besigye anaendelea kuzuiliwa katika jela ya Nalufenya wilayani Jinja eneo la Karamoja.

  • Uganda kuondoa askari wake wa kulinda amani Somalia?

    Uganda kuondoa askari wake wa kulinda amani Somalia?

    May 07, 2016 03:12

    Huenda Uganda ikaondoa wanajeshi wake wanaolinda amani nchini Somalia chini ya mwavuli wa Kikosi cha Kulinda Amani cha Umoja wa Afrika AMISOM.

  • Serikali ya Uganda yapiga marufuku televisheni kuonesha maandamano ya wapinzani

    Serikali ya Uganda yapiga marufuku televisheni kuonesha maandamano ya wapinzani

    May 06, 2016 00:02

    Serikali ya Uganda imepiga marufuku kanali za televisheni za nchi hiyo kuonesha moja kwa moja maandamano ya wapinzani.

  • Polisi Uganda yazima mkutano wa upinzani, kadhaa wakamatwa

    Polisi Uganda yazima mkutano wa upinzani, kadhaa wakamatwa

    May 03, 2016 12:02

    Maafisa wa polisi nchini Uganda wamezima mkutano wa kila wiki wa chama cha upinzani cha FDC na kukamata wafuasi kadhaa wa chama hicho.

  • Polisi Uganda: Maandamano ya upinzani hayana kibali

    Polisi Uganda: Maandamano ya upinzani hayana kibali

    Apr 30, 2016 03:27

    Polisi ya Uganda imeonya wafuasi wa upinzani nchini humo dhidi ya kushiriki maandamano ya Mei 5 na kusisitiza kuwa maandamano hayo hayajapata ridhaa ya serikali.

  • LRA iliwateka watu 296 kwenye robo ya kwanza ya 2016

    LRA iliwateka watu 296 kwenye robo ya kwanza ya 2016

    Apr 24, 2016 23:34

    Kundi la waasi la Lord's Resistance Army la Uganda liliwateka watu 296 katika Jamuhuri ya Afrika ya Kati na Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo katika robo ya kwanza ya mwaka huu.

  • Uganda: Saudia inawashikilia wanawake 12 raia wetu

    Uganda: Saudia inawashikilia wanawake 12 raia wetu

    Apr 21, 2016 10:53

    Bunge la Uganda limearifiwa kuwa wanawake 12 raia wa nchi hiyo wanashikiliwa chini ya mazingira magumu nchini Saudi Arabia.

  • Ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda, Tanzania yaipiku Kenya

    Ujenzi wa bomba la mafuta la Uganda, Tanzania yaipiku Kenya

    Apr 16, 2016 11:36

    Uganda imeamua kujenga bomba la mafuta kupitia Tanzania badala ya Kenya.

  • Waasi wa Uganda washambulia mashariki mwa DRC

    Waasi wa Uganda washambulia mashariki mwa DRC

    Apr 12, 2016 23:52

    Watu kadhaa wameuawa na kujeruhiwa mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya waasi wa Uganda kufanya mashambulizi kwenye maeneo hayo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS