Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

uhusiano

  • Kurejea tena uhusiano wa Qatar na Jordan; ishara ya kuendelea kufeli Saudi Arabia Mashariki ya Kati

    Kurejea tena uhusiano wa Qatar na Jordan; ishara ya kuendelea kufeli Saudi Arabia Mashariki ya Kati

    Mar 14, 2018 02:43

    Baada ya kupita miezi tisa ya kukata uhusiano na Qatar, serikali ya Jordan imechukua hatua za kuanzisha tena uhusiano wake na Doha baada ya kuhuisha tena ushirikiano wa kibiashara na uwekezaji vitega uchumi na nchi hiyo.

  • Zimbabwe yataka kupanua zaidi ushirikiano wake na Iran

    Zimbabwe yataka kupanua zaidi ushirikiano wake na Iran

    Feb 24, 2018 14:13

    Makamu wa Pili wa Rais wa Zimbabwe amesema kuwa, nchi yake inataka kupanua zaidi ushirikiano wake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Mbunge wa Tunisia achana bendera ya Israel ndani ya Bunge

    Mbunge wa Tunisia achana bendera ya Israel ndani ya Bunge

    Feb 14, 2018 07:22

    Mbunge mmoja wa Tunisia amechana bendera ya utawala wa Kizayuni wa Israel, kuonyesha ghadhabu zake dhidi ya serikali ya nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika ya kutaka kufanya wa kawaida uhusiano wake na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Larijani: Iran daima ina hamu ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika

    Larijani: Iran daima ina hamu ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika

    Jan 14, 2018 07:56

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Jamhuri ya Kiislamu ina hamu kubwa ya kuimarisha uhusiano na nchi za Afrika.

  • Safari ya Rais wa Ufaransa huko Niger

    Safari ya Rais wa Ufaransa huko Niger

    Dec 23, 2017 12:44

    Rais wa Ufaransa amewasili Niger kwa lengo la kukutana na wanajeshi wa nchi hiyo na kuchunguza hali ya mambo katika nchi za magharibi mwa Afrika.

  • Burundi yatoa mwito wa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na Iran

    Burundi yatoa mwito wa kuimarisha uhusiano wa kibiashara na Iran

    Dec 17, 2017 08:02

    Mkuu wa Jumuiya ya Biashara na Viwanda ya Burundi ametoa mwito wa kuimarishwa uhusiano wa kibiashara wa nchi hiyo ya Kiafrika na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Iran na Mauritania kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Iran na Mauritania kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Dec 10, 2017 07:01

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Mauritania zimeeleza juu ya hamu na utayarifu wao wa kuimarisha uhusiano wa pande mbili katika nyuga mbalimbali.

  • Mwanga wa kuzidi kuimarika uhusiano wa Ulaya na Iran

    Mwanga wa kuzidi kuimarika uhusiano wa Ulaya na Iran

    Nov 13, 2017 12:42

    Is'haq Jahangiri, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametangaza habari ya kuwekwa kwenye ajenda kuu suala la kufunguliwa ofisi ya Umoja wa Ulaya hapa mjini Tehran.

  • Radiamali ya Moscow kwa hatua mpya ya Marekani isiyo ya kidiplomasia

    Radiamali ya Moscow kwa hatua mpya ya Marekani isiyo ya kidiplomasia

    Oct 12, 2017 14:03

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia amesema kuwa serikali ya Marekani inavuruga uhusiano kati yake na Russia.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania yupo ziarani nchini Iran

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania yupo ziarani nchini Iran

    Oct 11, 2017 08:20

    Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa wa Tanzania, Augustine Mahiga yupo nchini Iran kwa safari rasmi ya kikazi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS