Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

uhusiano

  • Sisitizo la Rais Emmanuel Macron la kuendeleza sera za Ufaransa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Sisitizo la Rais Emmanuel Macron la kuendeleza sera za Ufaransa katika Jamhuri ya Afrika ya Kati

    Sep 27, 2017 04:15

    Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa amedai kuwa, nchi yake itaendeleza sera za nchi yake za kurejesha amani na uthabiti na kusaidia kuundwa serikali yenye nguvu katika Jamhuri ya Afrika ya Kati.

  • Israel yapatwa na wasiwasi kwa kupanuka mahusiano ya Iran na Uturuki

    Israel yapatwa na wasiwasi kwa kupanuka mahusiano ya Iran na Uturuki

    Aug 21, 2017 08:30

    Mchambuzi na mwandishi wa Israel amesema kuwa utawaka Kiizayuni umepatwa na wasiwasi mkubwa kufuatia safari ya Mkuu wa Vikosi vya Jeshi la Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Uturuki katika fremu ya kupanua mahusiano ya pande zotei wa nchi hizo mbili.

  • Iran na Afrika Kusini zajadili namna ya kuimarisha uhusiano wao

    Iran na Afrika Kusini zajadili namna ya kuimarisha uhusiano wao

    Aug 02, 2017 02:29

    Wanadiplomasia wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Afrika Kusini wamefanya mazungumzo hapa mjini Tehran kuhusu namna ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili hususan katika uga wa siasa.

  • Saudia na Imarati zinajiandaa kuweka wazi mahusiano yao na utawala wa Kizayuni

    Saudia na Imarati zinajiandaa kuweka wazi mahusiano yao na utawala wa Kizayuni

    Jul 29, 2017 13:44

    Sambamba na kuwepo mahusiano ya muda mrefu kati ya nchi zinazolizingira kwa kila upande taifa la Qatar na utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, habari zinaarifu kwamba Saudia na Imarati zinajiandaa kuweka wazi mahusiano hayo kwa walimwengu.

  • Israel: Wakati wa kuwekwa wazi mahusiano yetu na Saudia, umewadia

    Israel: Wakati wa kuwekwa wazi mahusiano yetu na Saudia, umewadia

    Jul 25, 2017 08:17

    Gazeti la utawala haramu wa Israel limezungumzia mahusiano yaliyopo baina ya Israel na Saudi Arabia na kuandika kuwa sasa umewadia wakati wa kutangazwa wazi mahusiano ya pande mbili hizo.

  • Iran kuendelea kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika

    Iran kuendelea kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika

    Jun 21, 2017 07:30

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesisitiza kuwa, ni katika sera zilizo madhubuti za nchi hii kuimarisha uhusiano wake na nchi za Afrika.

  • Iran na Cameroon kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    Iran na Cameroon kuimarisha uhusiano wa pande mbili

    May 10, 2017 07:35

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Cameroon zimesisitizia umuhimu wa kuimarishwa uhusiano wa nchi mbili hizi katika nyuga tofauti hususan ya kiuchumi.

  • Mgogoro wa kutoaminiana katika uhusiano wa Moscow na Washington

    Mgogoro wa kutoaminiana katika uhusiano wa Moscow na Washington

    Apr 14, 2017 02:41

    Mazungumzo ya kwanza kati ya Rais wa Russia na Rex Tillerson Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Marekani hayajaandaa uwezekano wa kujenga hali ya kuaminiana kati ya Moscow na Washington.

  • Iraq yasisitizia umuhimu wa kuwa na uhusiano mzuri na Iran

    Iraq yasisitizia umuhimu wa kuwa na uhusiano mzuri na Iran

    Apr 02, 2017 08:09

    Spika wa Bunge la Iraq amesema kuna haja ya kuimarisha uhusiano wa pande mbili kati ya nchi hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.

  • Balozi: Kiongozi Muadhamu, Rouhani wanaupa umuhimu uhusiano wa Iran na Russia

    Balozi: Kiongozi Muadhamu, Rouhani wanaupa umuhimu uhusiano wa Iran na Russia

    Mar 26, 2017 08:14

    Balozi wa Iran mjini Moscow amesema Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu na Rais Hassan Rouhani wanaupa umuhimu mkubwa na wa kipekee uhusiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Russia na wanataka kuuona ukiimarika.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS