-
Maadui watangaza "Siku ya Kumwadhibu Muislamu" nchini Uingereza
Mar 11, 2018 23:00Taharuki imetanda miongoni mwa Waislamu nchini Uingereza baada ya kundi lenye chuki dhidi ya Uislamu kusambaza barua za kutaka kushambuliwa Waislamu na misikiti nchini humo.
-
Iran yalaani kushambuliwa ubalozi wake London, Uingereza
Mar 10, 2018 04:10Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani vikali hatua ya kushambuliwa ubalozi wake mjini London, na kuitaka polisi ya Uingereza kuwadhaminia usalama wanadiplomasia wa Iran nchini humo.
-
Safari ya Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia nchini Uingereza, Silaha Mkabala wa Kuunga Mkono Jinai
Mar 07, 2018 22:07Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudia, Mohammad Bin Salman, Jumatano aliwasili nchini Uingereza baada ya safari hiyo kuakhirishwa mara kadhaa.
-
Uingereza kuwatimua maelfu ya wahajiri wa Zimbabwe
Feb 16, 2018 23:10Serikali ya Uingereza imetangaza azma yake ya kuwafukuza nchini humo maelfu ya wahajiri haramu raia wa Zimbabwe.
-
Wairaki wakasirishwa na mtazamo wa kikoloni wa Marekani kwa nchi yao
Jan 28, 2018 04:16Wairaki wanaendelea kubainisha hasira zao kufuatia jinai iliyotekelezwa jana na jeshi la Marekani nchini humo. Katika tukio la Jumamosi asubuhi, helikopta ya Jeshi la Marekani ilivamia eneo la Al Baghdadi katika mkoa wa Al Anbar magharibi mwa Iraq na kuua watu 8 na kuwajeruhi wengine 11.
-
The Independent: Bin Salman ndiye 'shakhsia wa mwaka' kwa mapungufu
Dec 17, 2017 04:35Mwandishi mashuhuri wa habari wa gazeti la The Independent la Uingereza kwa njia ya kinaya amemuarifisha Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia Mohammed bin Salman kuwa 'shakhsia wa mwaka' kutokana na kufeli sera zake katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Rais wa Iran: Uamuzi usio sahihi wa Trump ni sawa na kumwagia petroli kwenye moto
Dec 10, 2017 13:05Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, uamuzi wa hivi karibuni wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuitangaza Beitul-Muqaddas kuwa mji mkuu wa Israel na kutoa amri ya kuhamishiwa ubalozi wa Washington katika mji huo ulikuwa sawa na kumwagia mafuta ya petroli katika moto katika eneo la Mashariki ya Kati.
-
Ziara ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza mjini Tehran, fursa ya utatuzi au chanzo cha mjadala mpya?
Dec 10, 2017 03:08Boris Johnson, Waziri wa Mambo ya Nje wa Uingereza, aliwasili hapa mjini Tehran jana Jumamosi na kwa mujibu wa taarifa za vyombo rasmi, lengo la safari yake ni kunyanyua kiwango cha uhusiano baina ya nchi yake na Iran.
-
New York Times: Maelfu ya watu wamenasa katika utumwa Uingereza
Nov 19, 2017 23:18Ripoti iliyochapishwa na tume ya serikali ya Uingereza imesema kuwa maelfu ya watu nchini humo wanatumbukia katika mtego wa utumwa na kwamba baadhi yao ni wahajiri japokuwa wengi wao ni raia wa Uingereza yenyewe, suala ambalo limezusha mshtuko mkubwa.
-
Waziri wa Uingereza ajiuzulu kwa kufanya mikutano ya siri na Netanyahu
Nov 09, 2017 04:20Waziri wa Maendeleo ya Kimataifa wa Uingereza, Priti Patel amelazimika kujiuzulu kutokana na mtikisiko wa kisiasa nchini humo uliosababishwa na yeye kufanya mikutano ya siri na maafisa wa utawala wa Kizayuni wa Israel akiwemo Waziri Mkuu wa utawala huo bandia, Benjamin Netanyahu.