-
Uingereza yamtaka Trump aheshimu JCPOA
Oct 11, 2017 04:48Waziri Mkuu wa Uingereza amekariri kuwa London itaendelea kufungamana na kutekeleza makubaliano ya nyuklia ya Iran, huku akimtaka Rais Donald Trump wa Marekani kuheshimu mapatano hayo ya kimataifa.
-
Syria: US na UK ziliwapa magaidi silaha za kemikali zilizoua raia Khan Sheykhoun
Aug 17, 2017 02:43Uchunguzi uliofanywa na serikali ya Damascus umebainisha kuwa, Marekani, Uingereza na waitifaki wao zinayapa silaha zikiwemo za kemikali magenge ya kigaidi katika nchi hiyo ya Kiarabu.
-
Waislamu wazidi kunyanyaswa nchini Uingereza
Jun 18, 2017 03:23Vitendo vya unyanyasaji dhidi ya Waislamu vimeongezeka nchini Uingereza hasa baada ya kutokea mashambulizi ya kigaidi katika miji ya Manchester na London.
-
Matokeo ya awali ya uchaguzi Uingereza, chama cha Theresa May kimepoteza wingi bungeni
Jun 08, 2017 23:41Matokeo ya awali ya uchaguzi mkuu nchini Uingereza yanaonesha kuwa, chama cha Conservative kimeshinda kwa kupata viti vingi vya Bunge ingawa kimepoteza wingi mutlaki.
-
Waingereza washiriki uchaguzi mkuu, Wabunge 650 kuchaguliwa
Jun 08, 2017 03:23Mamilioni ya wananchi wa Uingereza hii leo wanaelekea kwenye masanduku ya kupiga kura kushiriki uchaguzi mkuu wa nchi hiyo, ambapo chama tawala cha Kihafidhina kinatazamiwa kuchuana vikali na chama cha upinzani cha Leba.
-
Waislamu Uingereza walaani mashambulizi ya kigaidi London, Manchester
Jun 06, 2017 09:13Waislamu nchini Uingereza wamelaani vikali mashambulizi ya kigaidi ya hivi karibuni katika miji ya London na Manchester yaliyosababisha vifo vya makumi ya watu.
-
Kiongozi wa upinzani Uingereza aituhumu Saudia kwa kuunga mkono ugaidi
Jun 05, 2017 02:20Kiongozi wa upinzani nchini Uingereza, Jeremy Corbyn amesema, wakati sasa umewadia kwa nchi yake kufanya 'mazungumzo magumu' na Saudia Arabia na madola mengine ya Kiarabu ambayo yanaunga mkono magaidi.
-
Baba wa mhusika wa shambulio la kigaidi la Manchester akamatwa nchini Libya
May 25, 2017 03:20Baada ya kukamatwa ndugu wa kiume wa Salman Abedi, mhusika wa shambulio la kigaidi la mjini Manchester, Uingereza, kitengo cha kupambana na ugaidi nchini Libya kimetangaza kuwa kimemkamata pia baba wa mhusika huyo wa shambulio hilo.
-
19 Wauawa katika hujuma ya kigaidi Manchester, Uingereza
May 22, 2017 23:05Watu wasiopungua 19 wameuawa katika mji wa Manchester nchini Uingereza kufuatia mlipuko mkubwa unaoshukiwa kuwa hujuma ya kigaidi.
-
Chama cha Leba cha UK kuitambua Palestina kikiingia madarakani
May 16, 2017 23:09Chama cha Leba cha Uingereza kimesema kitaitambua Palestina iwapo kitaibuka mshindi katika uchaguzi wa Juni 8 nchini humo.